Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»KUITWA Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam 24-07-2025
    Ajira

    KUITWA Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam 24-07-2025

    Kisiwa24By Kisiwa24July 24, 2025No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    KUITWA Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam 24-07-2025

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na. 315 siku ya Jumanne, tarehe 29 Julai, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa
    kabla ya kupewa barua za ajira.

    Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

    Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

    • Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
    • Cheti cha kuzaliwa;
    • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
    • Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)

    BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Chuo Cha Afya Muhimbili
    Next Article NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi July 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026
    Ajira

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    March 7, 2026
    Ajira

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,350 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,350 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.