POST AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE II). – 27 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukagua vyama vya Ushirika vya Msingi vinavyoendesha miradi ya pamoja (Jointy Venture);
ii.Kuhamasisha uanzishaji wa vyama vya Ushirika vya Msingi;
iii.Kukusanya na kuchambua takwimu zinazohusu Masoko katika Mkoa;
iv.Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa Vyama vya Ushirika vya Msingi; na
v.Kuratibu/kushiriki katika Elimu ya Ushirika Shirikishi katika Vyama vya Ushirika vya Msingi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza au Stashahada ya Juu (Advanced Diploma) katika fani ya Ushirika kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION TGS.D
CLICK HERE TO APPLY