Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha

December 23, 2025

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

December 21, 2025

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

December 21, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»MAJINA ya Walioitwa Kazini Utumishi 19 July 2025
Ajira

MAJINA ya Walioitwa Kazini Utumishi 19 July 2025

Kisiwa24By Kisiwa24July 19, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-02-2025 na tarehe 26-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Utumishi 19 July 2025

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Utumishi 19 July 2025

Ili kuweza kusoma orodha ya majina yote tafadhari bonyeza linki hapo chini

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleCV ya Moussa Balla Conté Mchezaji Mpya wa Yanga Sc
Next Article NAFASI za Kazi Citi Bank Tanzania July 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

December 21, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

December 21, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Yas Tanzania

December 21, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha
  • NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
  • NAFASI Za Kazi Standard Bank Group
  • NAFASI za Kazi Yas Tanzania
  • Sifa za Kujiunga na Chuo Cha University of Dar es salaam Computing Center (UCC)

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

December 21, 20252,531 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025799 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025455 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.