NAFASI za Kazi Tanroads July 2025
TANROADS (Wakala wa Barabara Tanzania) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Ujenzi, inayosimamia matengenezo, ujenzi na usimamizi wa barabara kuu na za mikoa nchini Tanzania. Ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhakikisha miundombinu ya barabara inakuwa bora, salama na inayochochea maendeleo ya kiuchumi. TANROADS inahusika pia na madaraja, barabara za lami na changarawe, pamoja na kuhakikisha ubora wa kazi zinazotekelezwa na wakandarasi kwa niaba ya serikali.
Kupitia mipango yake ya kimkakati, TANROADS hutoa kipaumbele kwa miradi ya barabara inayounganisha mikoa, wilaya na maeneo ya kiuchumi kama bandari, viwanda, na masoko. Hii huwezesha usafirishaji rahisi wa bidhaa na huduma na kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Wakala huu pia hufuatilia kwa ukaribu ubora wa barabara kupitia maabara ya kijenzi na hutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya barabara, ili kusaidia watumiaji kupanga safari zao kwa usalama na ufanisi.
NAFASI za Kazi Tanroads July 2025
Ili kuweza kusoma nafasi zilizopo, vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI