NAFASI za Kazi Ifakara Health Institute July 2025
Ifakara Health Institute (IHI) ni taasisi ya utafiti wa afya inayojulikana kwa mchango wake mkubwa katika kuboresha afya ya jamii nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Taasisi hii ilianzishwa mwaka 1956, na imekuwa ikifanya tafiti mbalimbali zenye lengo la kupambana na magonjwa yanayoathiri watu wengi kama vile malaria, kifua kikuu, UKIMWI, na magonjwa ya watoto wachanga. IHI ina vituo vya utafiti katika maeneo mbalimbali ya Tanzania kama vile Ifakara, Bagamoyo na Dar es Salaam, na imekuwa ikishirikiana na taasisi za kitaifa na kimataifa kuboresha mifumo ya afya kwa kutumia ushahidi wa kisayansi.
Mbali na tafiti, Ifakara Health Institute pia inatoa mafunzo kwa wataalamu wa afya na watafiti wachanga ili kuhakikisha kizazi kijacho kinaendelea kufanya kazi ya kisayansi kwa ufanisi. IHI ina miundombinu ya kisasa inayowezesha kufanya tafiti za kina, na imekuwa mstari wa mbele katika kuchangia sera za afya kupitia matokeo ya tafiti zake. Kupitia juhudi hizi, taasisi hii imejijengea heshima kama moja ya vituo bora vya utafiti barani Afrika.
NAFASI za Kazi Ifakara Health Institute July 2025
Ili kuweza kusoma nafasi zilizopo, vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI