Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Air Tanzania
Ajira

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Air Tanzania

Kisiwa24By Kisiwa24July 4, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali
kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Air Tanzania
Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025 kama ilivyooneshwa
    kwenye tangazo hili;
  • Muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkaazi, Kitambulisho cha
    Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Taifa, Hati ya Kusafiria au Leseni ya
    udereva;
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia cheti cha Kuzaliwa, Kidato cha
    IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea
    kutegemeana na sifa za Mwombaji;
  • Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”,
    hati za matokeo za Kidato cha IV na VI (Form IV and Form VI result slips) HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;
    (viii) Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
    hawakukidhi vigezo;
  • Wasailiwa wenye tofauti ya majina katika vyeti vya elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa
    wahakikishe wanakuwa na kiapo cha kubadilisha majina kilichosajiliwa (DEED POLL);
  • Wasailiwa waliozaliwa nje ya Tanzania wahakikishe wanawasilisha uthibitisho wa uraia
    kutoka Ofisi za Uhamiaji.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Air Tanzania

Ili kuweza kutizama orodha kamili ya majina ya walioitwa kwenye usaili kampuni ya Air Tanzania bonyeza linki hapo chini

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNAFASI za Kazi Mkulazi Holding Company Limited (MHCL)
Next Article MFANO wa Maswali Ajira za Air Tanzani
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania

December 6, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025
  • Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara
  • Coastal Union Vs Yanga Leo 7 Dec 2025 Saa Ngapi?
  • Simba vs Azam Leo 07 December2025 Saa Ngapi?

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025678 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025397 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025327 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.