Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»NAFASI za Kazi ya Muda INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2025
    Ajira

    NAFASI za Kazi ya Muda INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24July 7, 2025No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

    Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 10(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Mkurugenzi wa Uchaguzi anakaribisha maombi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mbalimbali kama zilizoanishwa katika Tangazo hili la Ajira.

    NAFASI za Kazi ya Muda INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2025

    Nafasi Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 zilizotangazwa ni kama zilizoanishwa hapa chini.

    • Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura.
    • Wasimamizi wasaidizi wa Vituo vya Kupigia kura.
    • Makarani Waongozaji Wapiga Kura.

    SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI ZA WASIMAMIZI AU WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA

    • Awe raia wa Tanzania.
    • Ametimiza umri wa miaka 18.
    • Asiwe kiongozi wa chama cha siasa.
    • Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu.
    • Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha nne (4) au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au kiingereza.
    • Pia, anayeweza kusoma na kuelewa kitabu cha Maelekezo kwa Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura na
    • Awe mkazi wa kata anayoomba kufanya kazi.

    SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA KARANI MWONGOZAJI WAPIGA KURA

    • Awe raia wa Tanzania.
    • Awe ametimiza umri wa miaka 18.
    • Asiwe kiongozi wa chama cha siasa.
    • Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu.
    • Awe amehitimu Elimu ya kidato cha nne (4) au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya kiswahili au kiingereza.
    • Pia, anayeweza kusoma na kuelewa kitabu cha Maelekezo kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura.
      na
    • Awe mkazi wa kata anayoomba kufanya kazi.

    MALIPO

    Malipo yatakuwa kama ifuatavyo hapa chini.

    Siku ya Uchaguzi Msimamizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 70,000/= kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Shilingi 20,000/= kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000/=.

    Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 65,000/= kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Shilingi 20,000/= kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000/=

    Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Shilingi 65,000/= kwa siku moja na posho ya chakula Shilingi 20,000/=.

    Wakati wa mafunzo watendaji wote watalipwa posho ya kiasi cha Shilingi 50,000/= kwa siku na nauli kiasi cha Shillingi 20,000/= kwa kila siku ya mafunzo.

    MASHARTI YA JUMLA

    • Mwombaji lazima aainishe kata na nafasi anayoomba.
    • Mwombaji awe tayari kufanya kazi katika kituo chochote atakachopangiwa.
    • Mwombaji aambatishe: –
      a) nakala ya vyeti vya Elimu ya Sekondari na Taaluma ikiwa anavyo.
      b) wasifu (CV) ukionesha anuani yake ya makazi, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini wake wawili na namba zao za NIDA.
      c) picha mbili zenye ukubwa sawa na picha iliyomo kwenye pasi ya kusafiria (Passport size) za hivi karibuni.
      d) barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wa serikali ya mtaa au kijiji katika eneo analoishi..
    • Mwombaji ambaye ni mtumishi wa umma apitishe barua yake ya maombi kwa mwajiri wake.

    BARUA ZOTE ZA MAOMBI ZIANDIKWE ANUANI IFUATAYO:
    Mkurugenzi wa Uchaguzi,
    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
    Uchaguzi House,
    Eneo la Uwekezaji Njedengwa,
    Kitalu D, Kiwanja Na.4,
    5 Barabara ya Uchaguzi,
    S.L.P. 358,
    41107 DODOMA.

    BARUA ZOTE ZA MAOMBI ZIANDIKWE NYUMA YA BAHASHA NAFASI ANAYOOMBA MWOMBAJI.

    ILI KURAHISISHA UTUMAJI WA MAOMBI, BARUA ZOTE ZA MAOMBI ZIKIWA ZIMEFUNGWA ZIPELEKWE KWA MSIMAMIZI MSAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA AMBAYE ATAZIPOKEA NA KUZIWASILISHA KWA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI.

    MWOMBAJI ATAKAYEBAINIKA KUWASILISHA TAARIFA ZA KUGHUSHI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.

    MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 11 JULAI, 2025.

    BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANDAZO

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleJinsi Ya Kurudisha Account Ya Zamani ya Efootball
    Next Article Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili Utumishi
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026
    Ajira

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    March 7, 2026
    Ajira

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,101 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025558 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025550 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,101 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025558 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025550 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.