Bei ya Vifurushi vya Azam TV Kisimbuzi Cha Dishi Na Antena 2025, Habari mwanakisiwa24 Blog, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa bei ya vifurushi vya Azam Tv kwa visimbuzi vya Dishi pamoja na kile cha Antena
Azam Tv imekua ni moja kati ya ving’amuzi pendwa zaidi nchini Tanzania na barani Africa kwa ujumla kutokana na aina ya vipindi vinavyolushwa katika channel zinazopatika katika king’amuzi hicho. Umuhimu na huduma bora inayotolewa na Azam TV imefanya kuwa chaguo linalopendelewa na Watanzania wengi.
Channel Zilizopo Katika King’amuzi Cha Azam Tv
Ukiwa na king’amuzi cha Azam Tv basi jua uko kwenye ulimwengu wa kila kitu kwani king’amuzi hiki kina channel nyingi ssana zenye maudhui tofauti tofauti kama vile;
- Channel za Habari
- Channel za Michezo
- Channel za Elimu
- Channel za Burudani
Uwepo wa channel zenye kutoa maudhui mbali mbali ndio umfanya watanzania walio wengi kuwea kuifanya Azam Tv kua chaguo bora zaidi kwa upande wao, uwepo wa mauhdui ya habari, michezo na hata burudani maudhui pendwa zaidi kwa watazamaji walio wengi.
Aina ya Visimbuzi Vya Azam Tv
Azam Tvi ina aina kuu mbili ya visimbuzi vyake. Visimbuzi hivi zinatofautiana katika bei kwa kuana utofauti wa channel katika kila kisimbuzi.
- Kisimbuzi cha Dishi
- 2Kisimbuzi cha Antena
Bei ya Vifurushi vya Azam TV
Hapa tutaenda kukuonyesha bei ya vifurushi vya king’amuzi cha Azam Tv kwa visimbuzi vyote viwili kisimbuzi cha dishi na kisimbuzi cha antena
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Kwa Kisimbuzi Cha Dishi
Kwa kisimbuzi cha dishi kuna vifurushi vya aina 4 amabvyo ni Azam Lite, Azamu Pure, Azam Plus na Azam Play, hapa tutaenda kuangalia bei ya vifurushi hizi kwa wiki na mwezi.
✓ Azam Lite
– wiki Tsh 3,000
– Mwezi Tsh 10,000
– Channel 80
✓ Azam Pure
– Wiki Tsh 6,000
– Mwezi Tsh 17,000
– Channel 85
✓ Azam Plus
– Channel 95+
– Tsh 25,000
✓ Azam Play
– Channel 135+
– Tsh 35,000
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Kwa Kisimbuzi Cha Antena
Katika kisimbuzi cha antena kuna aina pia nne ya vifurushi ambavyo ni kifurushi cha Saadani, kifurushi cha Mikumi, kifurushi cha Ngorongoro na kifurushi cha Serengeti, Hapa tutaenda kuangali bei ya vifurushi vyote vinne.
✓ Saadani
– Siku Tsh 500
– Wiki Tsh 3000
– Mwezi Tsh 12, 000
Mikumi
– Siku Tsh 1,000
– Wiki Tsh 6,000
– Mwezi Tsh 19,000
Ngorongoro
– Tsh 28,000
Serengeti
– Tsh 35,000
Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwapigia Azam Tv Huduma kwa Wateja
PO Box 2517,
Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email; [email protected]
Je nikilipia hyoo sh Elfu 19000 Mikumi channel za mpira zitaonyeshwa