NAFASI 14 za Kazi Chamwino District Council
Kufuatia idhini ya utekelezaji wa ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kwa kibali chenye Kumb. Na. Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29-04-2025, kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anawatangazia Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi za kazi tajwa hapo chini kujisajili na kutuma maombi yao kwa njia ya mfumo wa Ajira Portal.
NAFASI 14 za Kazi Chamwino District Council
Ili kuweza kusoma nafasi zilizopo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini