NAFASI 64 za Kazi Shirika La Ndege Tanzania (ATCL) June 2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Air Tanzania Company Limited (ATCL) ni Kampuni ya Uwezo Mdogo (Limited Liability Company) iliyosajiliwa chini ya Sheria ya Kampuni (CAP 212) ya mwaka 2002 baada ya kuvunjwa kwa kampuni ya zamani ya Air Tanzania Corporation (ATC). Kazi kuu ya kampuni hii ni usafirishaji wa abiria na mizigo, kwa kuchukua haki za uendeshaji za ATC ya zamani. Kampuni hii inamilikiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NAFASI 64 za Kazi Shirika La Ndege Tanzania (ATCL) June 2025

ATCL kwa sasa inatekelezza mpango wa kimkakati wa miaka 5 unaolenga kupanua idadi ya ndege zake na mtandao wake, huku ikiendelea kudumisha mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita. Lengo kuu la mkakati huu ni kuendelea kuwa kampuni ya ndege inayopendwa, ambayo inazidi matarajio ya wateja kwa kutoa huduma zinazotegemewa, salama, zenye ubora wa hali ya juu, na zisizo na vikwazo.

Kwa madhumuni ya kuimarisha huduma za matengenezo, usalama na ulinzi wa shughuli za uendeshaji, kwa kufuata malengo ya upanuzi yaliyopo; ATCL inawaalika waombaji wenye sifa kwa ajili ya kujaza nafasi zifuatazo za kazi:

NAFASI 64 za Kazi Shirika La Ndege Tanzania (ATCL) June 2025

Ili kuweza kusona aina za kazi, vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini

2 Comments

  1. ALFRED

    Naitwa ALFRED ALISEN FIDELIS naomba maombi ya kazi ya udereva wa magari madogo na operating forklift .
    Mimi ni mtanzania mwenye miaka 32

    Reply
  2. Aneth Yuward mponji

    Naitwa Aneth Yuward mponji naomba maombi ya kazi ya usimamizi wa usafirishaji
    Mimi ni Mtanzania mwenye miska 24

    Reply

Leave your thoughts

error: Content is protected !!