⇒VIDEO ZA CONNECTION ZA WAKUBWA TU 18+ (BOFYA HAPA)

  _____________________________________

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

NAFASI 700 za Walimu Somo la Biashara Daraja la IIIC MDAs & LGAs

NAFASI 700 za Walimu Somo la Biashara Daraja la IIIC MDAs & LGAs

KWA NAFASI ZA KAZI  UTUMISHI BONYEZA HAPA

NAFASI 700 za Walimu Somo la Biashara Daraja la IIIC MDAs & LGAs

NAFASI 700 za Walimu Somo la Biashara Daraja la IIIC MDAs & LGAs

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;

viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Biashara au Usimamizi wa Biashara (Commerce/ Bookkeeping/ Business Administration)

AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Biashara au usimamizi wa biashara (Commerce/ Bookkeeping/ Business Administration) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya Biashara/usimamizi wa biashara/Commerce/ Bookkeeping/ Business Administration/Business studies’’. waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!