⇒VIDEO ZA CONNECTION ZA WAKUBWA TU 18+ (BOFYA HAPA)

  _____________________________________

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

NAFASI 500 za Kazi ya Udereva UTUMISHI June 2025

NAFASI 500 za Kazi ya Udereva UTUMISHI June 2025

KUSOMA VIGEZO NA KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA

NAFASI 500 za Kazi ya Udereva UTUMISHI June 2025

Duties And Responsibilities

i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; na

vi) Kufanya usafi wa gari

Qualification And Experience

Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!