NAFASI 331 za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kusimamia masuala ya ajira, nidhamu, na maendeleo ya watumishi wa mahakama. Tume hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa mfumo wa utoaji haki unakuwa na watumishi wenye weledi, maadili na ufanisi unaohitajika ili kukuza haki na usawa mbele ya sheria. Pia, hutoa ushauri kwa Mhe. Jaji Mkuu juu ya masuala mbalimbali yanayohusu utumishi wa mahakama ili kuhakikisha kuwa uendeshaji wa shughuli za mahakama unazingatia viwango vya kitaaluma na kisheria.
Majukumu mengine ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni pamoja na kushughulikia masuala ya ajira mpya, kupandisha vyeo, na kushughulikia malalamiko au migogoro ya kiutumishi miongoni mwa watumishi wa mahakama. Kwa kufanya kazi kwa kushirikiana na idara nyingine za serikali na mashirika ya kimataifa, tume hii inasaidia katika kuimarisha mfumo wa haki nchini. Kwa hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama ni mhimili muhimu katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bora za kimahakama kupitia watumishi waliobobea na wanaowajibika.
NAFASI 331 za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025
Hapa chini ni aina ya kazi na idadi ya nafasi kwa kila aina ya kazi
- CIVIL TECHNICIAN II (CARPENTER) Nafasi 3
- CIVIL TECHNICIAN II (PAINTER) Nafasi 3
- TECHNICIAN II (ELECTRICAL) Nafasi 4
- TECHNICIAN II (PLUMBING) Nafasi 6
- TECHNICIAN II (AIR CONDITION (HVAC) Nafasi 10
- TECHNICIAN II (WELDING AND FABRICATION TECHNICIAN) Nafasi 2
- MSAIDIZI WA OFISI Nafasi 42
- MLINZI Nafasi 3
- DEREVA II Nafasi 33
- MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II Nafasi 46
- AFISA MWENDESHA OFISI DARAJA II Nafasi 5
- MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II Nafasi 80
- MPISHI Nafasi 8
- MSAIDIZI WA MAKTABA II Nafasi 5
- MKUTUBI II Nafasi 2
- OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI Nafasi 8
- OPERATA WA KOMPYUTA II Nafasi 5
- MSAIDIZI WA HESABU II Nafasi 10
- AFISA UTUMISHI II Nafasi 10
- HAKIMU MKAZI II
Ili kusoma vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza kwenye linki hapo chini
Mimi ni dereva nahitaji