Vitu Vilivyopigwa Marufuku Uwanjani Simba Sc vs Berkane 25 Mei 2025
Kuelekea mchezo wa fainali ya 2 ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Sc vs RS Berkane shirikisho la mpira barani Afrika limetoa orodha ya viti ambavyo haviruhusiwi kwa mashabiki kuweza kuingia navyo uwanjani.
Na sisi kama wanasoka Kisiwa24 Blog tumekusigezea orodha kamili ya vitu vyote ambavyo vimepigwa marufuku kwa mashabiki kuweza kwenda navyo katika mchezo huo wa fainali ya CAF Confederation Cup.
Ikumbukwe kua huu ni mchezo wa awamu ya pili baada ya mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Morocco na Simba kupoteza kwa kufungwa goli 2 kwa 0.
Mchezo huu wa duru ya 2 utapigwa mjini Zanzibar katika uwanja wa Amani New Complex kuanzia majira ya saa 16:00 za jioni
Soma pia
Vitu Vilivyopigwa Marufuku Uwanjani Simba Sc vs Berkane 25 Mei 2025
