Simba Sc vs RS Berkane Leo Saa Ngapi? Fainali CAF Confederation Cup
Simba vs RS Berkane Leo Saa Ngapi?, Fainali ya Kombe la Shirikisho(CAF Confederation Cup Fainal 2nd Leg): Simba SC vs RS Berkane Mei 25, Fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho CAF, Saa 16:00 jioni.
Leo tarehe 25 Mei 2025 klabu ya wekundu wa msimbasi Simba inaenda kuivaa klabu ya RS Berkane kutokea nchini Morocco katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup Final 2nd Leg) ikiwa ni mchezo wa Duru ya pili baada ya kupoteza mchezo wa kwaza.
Ikumbukwe kua mchezo wa kwanza wa fainali ya CAF Confederation Cup klabu ya Simba ilipoteza kwa kupokea kichapo cha mabao 2 kwa 0 ugenini nchini Morocco.
Leo tarehe 25 Mei 2025 Simba anaingia tena uwanjani katika duru ya pili ya fainali hii ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup Final 2nd Leg) kuhakikisha anatetea ubingwa wa kombe hili.
Maelezo ya Mchezo
Ligi: Kombe la Shirirkisho Afrika (CAF Confederation Cup)
Hatua: Fainali Mchezo wa Pili
Timu: Simba Sc vs RS Berkane
Uwanja: Amani Stadium Zanzibar
Muda: 16:00 Jioni