Kikosi Cha Simba Sc vs RS Berkane 25 May 2025
Baada ya mchezo wa duru ya kwanza wa fainali za kombe la shirikisho Afrika kati ya RS Berkane vs Simba Sc uliofanyika 17 May 2025 Nchini Morocco leo 25 May 2025 ni mchezo wa Duru ya Pili.
Mchezo huu wa duru ya pili utafanyika nchini Tanzania Zanzibar visiwani katika uwanja wa Amaan leo jumapili kuanzia majira ya saa 10:00 za jioni.

Ikumbukwe ya kua mchezo wa Duru ya kwanza Simba ilikubali kichapo cha mabao 2 – 0 ugenini, ili kujihakikishia ushindi wa kombe hili klabu ya Simba itahitaji kushinda si chini ya goli 3 kwa sifuri.
Kuelekea mchezo huu Kisiwa24 Blog tuko hapa kukuletea kikosi cha Simba Sc kitakacho minyana na klabu ya RS Berkane katika kuwania taji hili la kombe la shirikisho Afrika kwenye mchezo wa Duru ya pili ya fainali za CAF Confederation Cup msimu wa 2024/2025.
Kikosi Cha Simba Sc vs RS Berkane 25 May 2025
Hapa chini ndio kikosi cha simba kitakacho tangazwa lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo huu wa fainali ya CAF Confideration Cup duru ya pili mjini Zanzibar kuanzia majira ya saa10:00 za jioni.