RATIBA ya NBC Youth League 2025
RATIBA ya NBC Youth League 2025
Mwezi Mei tutaenda kushuhudi ligi ya NBC Youth kwa msimu wa mwaka 2025. Hapa Kisiwa24 Blog tumekuletea ratiba kamili ya michuano hiyo ya mwezi May 2025;
Jumatatu 19 Mei 205
- Simba Sc vs Dosoma Jiji, Saa 10:00 Jioni
- Azam Fc vs Kengold , Saa 1:00 Usiku
Jumanne 20 May 2025
- Kagera Sugar vs Fountain Gate, Saa 10:00 Jioni
- Yanga Sc vs Tanzania Prisons, Saa 1:00 Usiku
Jumatano 21 May 2025
- KenGold Sc vs Simba Sc, Saa 10:00 Jioni
- Azam Fc vs Dodoma Jiji, Saa 1:00 Usiku