MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Utumishi 17 May 2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Ajira hizi ni za mkataba.
- MATOKEA YA USAILI WA KUANDIKA WAKALA WA VIPIMO
- MCHANGANUO WA USAILI WA VITENDO DEREVA WAKALA WA VIPIMO