FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025
FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024.
Kuelekea michuano hii ya kidunuia inayoshirikisha vilabu mbalimbali duniani kote kampuni ya Azam Tv inayojihusisha na urushaji wa matangazo ya mpira kutoka ligi mbalimbali za Tanzania, Afrika na Dunia imesema shabiki wa mpira Tanzania na Afrika kwa ujumla watapata wasaha wa kutazama nichuano hiyo mwanzo mwisho
Channel Zitakazo Rusha Michuano Hii
Azam Tv itarusha matangazo ya ligi hiyo kupitia channel zake za;
1. Azam Sport3 HD
2. Azam Sport4 HD
Azam Tv wameyaseama hayo kupitia page yao ya instagram, Azam Tv wamewakumbusha wapenzi wa mpira na watumiaji wa kisimbuzi cha Azam kuweza kulipia vizimbui vyao ili kuweza kufurahia burudani hii