MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025, Hatimae siku imewadia kwa mchuano wa nusufaninali ya kwanza ya kombe la shirikisho Afrika. Masikio na macho ya mashabiki wa mpira wa miguu Afrika na duniani leo 17 May 2025 yananda kujikita nchini Morocco kushuhudia pambano la kihistoria kati ya mnyama Simba Sc kutokea Tanzania na klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco.
Mchezo huu unasubiliwa na mashabi wengi kwani ndio mchezo wa kwanza wa fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika. Mchezo wa pili wa CAF Confederation CUP utafanyika 27 May 2025 nchini Tanzania.
Maelezo ya Mchezo
Aina ya Mchezo: Nusu fainali CAF Confederation CUP 2024/2025
Timu: RS Berkane vs Simba Sc
Nchini: Morocco
Uwanja: Stade municipal de Berkane
Muda: 22:00 PM
Tunapoelekea kushuhudia mtanange huo wa kukata na shoka basi Kisiwa24 Blog tunakuletea LIVE updates za mchezo wote katika ukrasa huu.Tembelea ukrasa huu kila wakati ili kuweza kufahamu nini kinaendelea wakati wa mchezo na kujua matokeo ya mchezo huu Berkane vs Simba Sc fainali ya CAF Confederation Cup msimu wa 2024/2025.
Soma Pia; Kikosi cha Berkane vs Simba Sc 17 May 2025
MATOKEO RS Berkane vs Simba Sc 17 May 2025
Kipindi cha Kwanza
0′ Mpira Umeanza
1′ RS Berkane (Mc)0-0 Simba Sc (Tz)- LIVE Kutoka Stade municipal de Berkane, Morocco
Soma Pia
Vinara wa Clean Sheets CAF Confederation CUP 2024/2025
Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025
Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025
Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025