MATOKEO Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025
Leo tarehe 13 May 2025 wapenzi wa soka hasa kweney ligi kuu ya NBC wanaenda kushuhudia mechi kali kati ya Yanga Sc vs Namungo FC katika uwanaja wa KMC Complex kuanzia majira ya saa 10:15 za jioni.
Mchezo huo wa 27 ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC utakua wa kuvutia sana kwa klabu ya Yanga iko kusaka pointi 3 muhimu ili kuendelea kujihakikishia kukaa katika nafasi ya kwanza ya msimamo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu huu wa 2025/2026.
Kuelekea mchezo huu Kisiwa24 Blog tunakuletea LIVE updates zote za mchezo huu kuanzia dk 1 hadi dk 90. Hivyo basi ili kufahamu MATOKEO ya mchezo huu wa Yanga vs Namungo FC leo 13 May 2025 tembelea ukrasa huu kila wakati baada ya mchezo kuanza.
Soma Pia;
- Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
- Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025
- Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025
LIVE Yanga vs Namungo FC
Kipindi cha Kwanza
0′ Mpira umeanza
1′ Ynag Sc 0 – 0 Namungo FC
45′ Kipindi cha kwanza kimeisha
Kipindi Cha Pili
45′ Mpira Umeanza