Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Ligi Kuu ya NBC Tanzania ni mojawapo ya mashindano maarufu na yenye msisimko mkubwa katika medani ya soka nchini. Ligi hii inasimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo limekuwa likifanya kazi kubwa kuhakikisha kuwa ligi inakua na inaboresha kiwango cha soka nchini. Msimu wa 2024/2025 unatarajiwa kuwa na ushindani mkali na burudani ya hali ya juu kutokana na ushiriki wa timu zenye uwezo na rekodi nzuri.
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Hapa Tumekuwekea ratiba ya Ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kwa roundi ya KWANZA hapa utapata michezo ya mechi zote kwa roundi ya 1;
Siku; 8/16/2024
Timu; Pamba Jiji VS Tanzania Prisons
Muda; 16:00
Uwanja; CCM Kirumba
Siku; 8/17/2024
Timu; Mashujaa FC VS Dodoma Jiji
Muda; 16:00
Uwanja; Lake Tanganyika
Siku; 8/17/2024
Timu; Namungo FC Vs Fountain Gate
Muda; 19:00
Uwanja; Majaliwa Stadium
Siku; 8/18/2024
Timu; KenGold FC VS Singida BS
Muda; 14:00
Uwanja; Sokoine Stadium
Siku; 8/18/2024
Timu; Simba SC VS Tabora United
Muda; 16:15
Uwanja; KMC Complex
Siku; 8/28/2024
Timu; JKT Tanzania VS Azam FC
Muda; 16:00
Siku; 8/29/2024
Timu; KMC FC VS Coastal Union
Uwanja; Mej. Jen. Isamuhyo
Muda; 16:00
Uwanja; KMC Complex
Siku; 8/29/2024
Timu; Kagera SugarV S Young Africans
Muda; 19:00
Uwanja; Kaitaba Stadium
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Round 2 Msimu Wa 2024/2025
Hapa Tumekuwekea Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kwa roundi ya PILI hapa utapata michezo ya mechi zote kwa roundi ya 2;
Muda; Friday, August 23, 2024
Timu; Mashujaa FC VS Tanzania Prisons
Muda; 16:00
Uwanja Lake Tanganyika Kigoma
Siku; Saturday, August 24, 2024
Timu; Pamba Jiji VS Dodoma Jiji
Muda; 16:00
Uwanja; CCM Kirumba Mwanza
Siku; Saturday, August 24, 2024
Timu; Kagera Sugar VS Singida BS
Muda; 19:00
Uwanja; Kaitaba Stadium Kagera
Siku; Sunday, August 25, 2024
Timu; Simba SC VS Fountain Gate
Muda; 16:00
Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam
Siku; Sunday, August 25, 2024
Timu; Namungo FC VS Tabora United
Muda; 19:00
Uwanja; Majaliwa Stadium Lindi
Siku; Wednesday, September 25, 2024
Timu; JKT Tanzania VS Coastal union
Muda; 14:00 Mej.
Uwanja; Jen. Isamuhyo Dar es Salaam
Siku; Wednesday, September 25, 2024
Timu; KenGold FC VS Young Africans
Muda; 16:15
Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya
Siku; Thursday, September 26, 2024
Timu; KMC FC VS Azam FC
Muda; 16:00
Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Round 3 Msimu Wa 2024/2025
Hapa Tumekuwekea ratiba ya Ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 kwa roundi ya TATU hapa utapata michezo ya mechi zote kwa roundi ya 3;
Siku; Wednesday, September 11, 2024
Timu; United VS Kagera Sugar
Muda; 14:00
Uwanja; Ali Hassan Mwinyi Tabora
Siku; Wednesday, September 11, 2024
Timu; Fountain Gate VS KenGold FC
Muda; 16:15
Uwanja; Tanzanite Kwaraa Manyara
Siku; Thursday, September 12, 2024
Timu; Singida BS VS KMC FC
Muda; 16:00
Uwanja; CCM Liti Singida
Siku; Thursday, September 12, 2024
Timu; Dodoma Jiji VS Namungo FC
Muda; 19:00
Uwanja; Jamhuri Stadium Dodoma
Siku; Monday, October 21, 2024
Timu; Coastal Union VS Mashujaa FC
Muda; 16:00
Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam
Siku; Monday, October 21, 2024
Timu; Azam FC VS Pamba Jiji
Muda; 19:00
Uwanja; Azam Complex Dar es Salaam
Siku; Tuesday, October 22, 2024
Timu; Tanzania Prisons VS Simba SC
Muda; 16:00
Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya
Siku; Tuesday, October 22, 2024
Timu; Young Africans VS JKT Tanzania
Muda; 19:00
Uwanja; Azam Complex Dar es Salaam
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Round 4 Msimu Wa 2024/2025
Siku; Saturday, September 14, 2024
Timu; Tabora United VS Tanzania Prisons
Muda; 16:00
Uwanja; Ali Hassan Mwinyi Tabora
Siku; Sunday, September 15, 2024
Timu; Pamba Jiji VS Singida BS
Muda; 14:00
Uwanja; CCM Kirumba Mwanza
Siku; Sunday, September 15, 2024
Timu; Fountain Gate VS Dodoma Jiji
Muda; 16:15
Uwanja; Tanzanite Kwaraa Manyara
Siku; Monday, September 16, 2024
Timu; KMC FC VS KenGold FC
Muda; 16:00
Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam
Siku; Monday, September 16, 2024
Timu; Kagera Sugar VS JKT Tanzania
Muda; 19:00
Uwanja; Kaitaba Stadium Kagera
Siku; TBA
Timu; Coastal Union VS Namungo FC
Muda; TBA KMC
Uwanja; Complex Dar es Salaam
Siku; TBA
Timu; Azam FC VS Simba SC
Muda; TBA
Uwanja; Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Siku; TBA
Timu; Young Africans VS Mashujaa FC
Muda; TBA
Uwanja; Azam Complex Dar es Salaam
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linahusika na kupanga na kusimamia ligi mbalimbali nchini, ikiwemo Ligi Kuu ya NBC Tanzania. TFF inajukumu la kuhakikisha kuwa ligi inaendeshwa kwa uwazi na haki, ikiwa ni pamoja na kutoa ratiba ya michezo, kusimamia masuala ya nidhamu, na kuhakikisha viwanja vinakidhi viwango vya kimataifa.
- Mzunguko wa 1: Kuanza Agosti 16, 2024
- Mzunguko wa 2: Kuanza Agosti 24, 2024
- Mzunguko wa 3: Kuanza Septemba 11, 2024
- Mzunguko wa 4: Kuanza Septemba 14, 2024
- Mzunguko wa 5: Kuanza Septemba 21, 2024
- Mzunguko wa 6: Kuanza Septemba 28, 2024
- Mzunguko wa 7: Kuanza Oktoba 2, 2024
- Mzunguko wa 8: Kuanza Oktoba 19, 2024
- Mzunguko wa 9: Kuanza Oktoba 26, 2024
- Mzunguko wa 10: Kuanza Novemba 2, 2024
- Mzunguko wa 11: Kuanza Novemba 9, 2024
- Mzunguko wa 12: Kuanza Novemba 23, 2024
- Mzunguko wa 13: Kuanza Novemba 30, 2024
- Mzunguko wa 14: Kuanza Desemba 11, 2024
- Mzunguko wa 15: Kuanza Desemba 14, 2024
- Mzunguko wa 16: Kuanza Desemba 21, 2024
- Mzunguko wa 17: Kuanza Desemba 28, 2024
- Mzunguko wa 18: Kuanza Januari 18, 2025
- Mzunguko wa 19: Kuanza Januari 25, 2025
- Mzunguko wa 20: Kuanza Februari Mosi, 2025
- Mzunguko wa 21: Kuanza Februari 15, 2025
- Mzunguko wa 22: Kuanza Februari 22, 2025
- Mzunguko wa 23: Kuanza Machi Mosi, 2025
- Mzunguko wa 24: Kuanza Machi 8, 2025
- Mzunguko wa 25: Kuanza Machi 29, 2025
- Mzunguko wa 26: Kuanza Aprili 12, 2025
- Mzunguko wa 27: Kuanza Aprili 19, 2025
- Mzunguko wa 28: Kuanza Mei 3, 2025
- Mzunguko wa 29: Kuanza Mei 17, 2025
- Mzunguko wa 30: Kuanza Mei 24, 2025
Tafadhali kumbuka: Ratiba hii inaweza kubadilika kulingana na maamuzi ya TPL na matukio mengine yasiyotarajiwa. Endelea kufuatilia tovuti rasmi ya TPL na vyombo vya habari kwa taarifa zaidi na ratiba iliyosasishwa
Idadi ya Timu
Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania utashirikisha jumla ya timu 16 ambazo zitachuana kuwania ubingwa. Timu hizi zinajumuisha vigogo wa soka kama Simba SC, Yanga SC, Azam FC, na KMC. Pia kuna timu mpya zilizopanda daraja ambazo zitakuwa na hamasa kubwa ya kuonyesha uwezo wao katika ligi kuu.
Timu Zilizopanda Daraja
Miongoni mwa timu mpya zilizopanda daraja msimu huu ni pamoja na KenGold FC, ambayo imeonyesha uwezo mkubwa katika ligi daraja la kwanza. Kupanda kwao daraja ni ushahidi wa juhudi na mipango thabiti ya klabu hii, na sasa wanatarajiwa kuleta ushindani mpya katika Ligi Kuu.
KenGold FC
KenGold ndio mabingwa wa NBC Championship Wakiwa kileleni mwa jedwali wakiwa na alama 70, KenGold imekuwa timu bora sana msimu huu imefanikiwa kucheza mechi 30, ushindi 21, droo 7 na kupoteza 2.
2.Pamba FC
Wakishika nafasi ya pili wakiwa na pointi 67, Pamba pia wamejihakikishia kupanda Ligi Kuu. Wamekuwa na mbio za kuvutia na wameshinda michezo 20, sare 7, na kupoteza 3.
Timu Zinazoshiriki
- Simba SC: Moja ya klabu kongwe na yenye mafanikio makubwa katika historia ya soka la Tanzania. Simba inajivunia mashabiki wengi na rekodi nzuri ya ubingwa.
- Yanga SC: Pia ni klabu yenye historia ndefu na mafanikio mengi, ikiwa na mashabiki wengi na ushindani mkali dhidi ya Simba SC.
- Azam FC: Timu hii imeweza kujijengea jina kubwa kwa muda mfupi, ikijulikana kwa uwekezaji mkubwa na maendeleo ya haraka.
- KMC: Timu inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, imekuwa na maendeleo mazuri na inazidi kuimarika kila msimu.
- Singida Big Star: Timu mpya iliyopanda daraja, ikitarajiwa kuleta ushindani mpya katika ligi.
Ratiba ya Msimu
Hadi sasa, TFF bado haijatoa ratiba rasmi ya msimu wa 2024/2025. Hata hivyo, mashabiki wanashauriwa kuendelea kufuatilia tovuti yetu ya habario50.com kwa habari za uhakika na za haraka kuhusu ratiba hiyo na matukio mengine muhimu ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania.
Hitimisho
Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania unatarajiwa kuwa wa kusisimua na wenye ushindani mkubwa. Timu 16 zitapambana kuwania taji la ubingwa, huku mashabiki wakitarajiwa kupata burudani ya hali ya juu. habarika24.com inawaomba kuendelea kutembelea ukurasa huu ili kupata habari mpya na ratiba ya ligi itakapotolewa na TFF.
Soma Pia;
>>Tiketi na Bei ya Viingilio vya Wiki ya Mwananchi 2024
>>Ligi Bora Africa 2024 | Viwango vya ubora CAF Ranking
>>Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro
>>Soma Nauli za treni ya mwendokasi SGR
>>Soma Nauli za treni ya mwendokasi SGR
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku
Tags: Michezo