Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Jinsi ya Kuongea na Mpenzi Wako Kwenye Simu

    March 18, 2026

    Jinsi ya Kuchati na Mpenzi Aliye Mbali

    March 18, 2026

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi 2026

    March 18, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Leo March 2026
    Ajira

    Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Leo March 2026

    Kisiwa24By Kisiwa24March 18, 2026No Comments4 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Majina Mapya ya Walioitwa Kazini 2026 – Utumishi na Ajira Portal, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetoa orodha ya majina ya watu walioitwa kazini kwa mwaka 2026 kupitia mfumo rasmi wa ajira. Hati hii muhimu ipo katika muundo wa PDF na inapatikana kupitia tovuti ya PSRS kwa waombaji wote waliowahi kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi serikalini.

    Kuhusu UTUMISHI (PSRS)

    PSRS ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kuratibu na kusimamia mchakato mzima wa ajira katika sekta ya umma. Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Sura 298 ya mwaka 2002, iliyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, PSRS imepewa mamlaka ya:

    • Kutafuta na kuhifadhi kumbukumbu za wataalamu wenye ujuzi maalumu kwa ajili ya nafasi za ajira.
    • Kusajili wahitimu na wataalamu kwa urahisi wa kujaza nafasi mbalimbali.
    • Kutangaza nafasi za kazi zilizopo serikalini.
    • Kuendesha mahojiano na kushirikisha wataalamu husika.
    • Kushauri waajiri kuhusu masuala ya ajira.
    • Kufanya majukumu mengine yoyote yanayoelekezwa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma.

    Umuhimu wa Wito wa Kazi UTUMISHI

    Tangazo hili la kuitwa kazini linawahusu wale waliotuma maombi ya kazi katika sekta tofauti serikalini ikiwemo elimu, afya, ustawi wa jamii na nyanja nyingine. Ni hatua muhimu inayothibitisha kuwa mwombaji amefanikisha mchakato wa maombi, uchambuzi wa nyaraka, tathmini, na hatimaye uteuzi rasmi.

    Jinsi ya Kuhakikisha Jina Lako Lipo

    Ili kujua kama umechaguliwa, tembelea tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS). Hapo utapata orodha kamili ya majina yaliyotolewa kupitia tangazo la ajira 2025. Hakikisha unakagua jina lako na kuthibitisha uteuzi wako.

    Wito huu wa ajira unaashiria fursa kubwa kwa Watanzania wanaotafuta ajira katika sekta ya umma. Kwa wale waliopata nafasi, ni mwanzo wa safari mpya ya kulitumikia taifa kupitia nyanja mbalimbali za kiutawala na kijamii.

    Kwa urahisi wako, orodha ya majina pia imeambatanishwa ili kusaidia kuthibitisha uteuzi wa walioitwa kazini mwaka huu.

    • TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-03-2026
    • TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 13-03-2026
    • TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 09-03-2026
    • TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA 25-02-2026

    Kuhusu Sekretarieti ya Ajira (PSRS)

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali na hadhi ya Idara ya kujitegemea iliyoanzishwa hasa ili kuwezesha mchakato wa kuajiri wa wafanyakazi katika taasisi mbalimbali za Umma.

    Maono ya Sekretarieti ya Ajira

    • Maon yetu ni kuwa kituo cha ubora katika huduma ya umma kuajiri katika kanda.

    Kazi Kuu za Sekretarieti ya Ajira (PSRS)

    Kazi yetu kubwa ni Kufanya kuajiri watumishi wa umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia kanuni za usawa, uwazi na sifa na pia kutoa ushauri kwa waajiri juu ya maswala yanayohusiana na ajira.

    1. Kuajiri wafanyakazi kwenye taasisi za Umma,Jukumu kuu la PSRS ni kuwezesha kuajiri katika Huduma ya Umma.
    2. Kutafuta wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa database kwa wataalamu hao kwa ajili ya kuajiri rahisi;
    3. Kurejista wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya urahisi wa rejea ya kujaza nafasi tupu;
    4. Kutangaza nafasi za kazi zinazotokea katika huduma ya umma;
    5. Kuhusisha wataalam husika kwa madhumuni ya kufanya mahojiano
    6. Kushauri waajiri juu ya masuala mbalimbali yanayohusiana na kuajiri, na
    7. Kufanya kitendo kingine chochote au kitu ambacho kinaweza kuelekezwa na Waziri anayehusika na Huduma ya Umma.

    Utajuaje Kama Umeitwa Kazini Kupitia Utumishi

    Kama ulifanya usaili kupitia utumishi na ajira portal basi unapaswa pia kufuatilia kujua kama ulichaguliwa kua miongoni mwa walioitwa kazini baada ya kufanya usaili. Sekretarieti ya Ajira (PSRS) hutoa PDF document ambayo huwa na majina ya walioitwa kazini baada ya kufaulu usaili wao. Document hizo hupatikana kupitia tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira (PSRS)

    Hivyo basi ili kujua kama umeitwa kazi kupitia utumishi tembelea tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS).

    Matangazo haya ya kuitwa kazini yanapatikana moja kwa moja kupitia tovuti rasmi ya sekretarieti ya Ajira (Utumishi). Pia hapa katika page hii utapata updates zote za majina ya waliotwa kazi utumishi leo, wiki hii, mwezi huu. ili kupata taarifa za sasa tafadhari tembelea ukrasa huu mara kwa mara.

    MAWASILIANO Ya UTUMISHI

    Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa mawasiliano yafuatayo;

    Ofisi ya Rais,

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,

    SLP 2320,

    Dodoma.

    katibu@ajira.go.tz

    +255 (26) 2963652

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026
    Next Article MASWALI ya Usaili wa Mahojiano Ajirai za UTUMISHI (New Update) 2026
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    Nafasi za Kazi ya Uwalimu The School of St Judes March 2026

    March 18, 2026
    Ajira

    MASWALI ya Usaili wa Mahojiano Ajirai za UTUMISHI (New Update) 2026

    March 18, 2026
    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 18, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,559 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025623 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi 2026

    March 18, 2026555 Views
    Latest Reviews
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,559 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025623 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi 2026

    March 18, 2026555 Views
    Our Picks

    Jinsi ya Kuongea na Mpenzi Wako Kwenye Simu

    March 18, 2026

    Jinsi ya Kuchati na Mpenzi Aliye Mbali

    March 18, 2026

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi 2026

    March 18, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.