Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    March 7, 2026

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)
    Ajira

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    Kisiwa24By Kisiwa24March 7, 2026No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
    Tanzania(TAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa
    kuanzia tarehe 15/03/2026 hadi 15/04/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
    Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
    1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili
    utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
    2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
    3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
    Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
    Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya
    utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
    4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada,
    Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika.
    5. Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato
    cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA
    USAILI.
    6. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili
    pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
    7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa
    na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
    8. Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka
    husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania
    wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
    9. Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira
    Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.
    10. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili.
    Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email
    address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal.
    11. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha
    Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    Bonyeza Hapa Kudownload List ya Majina

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya
    Next Article PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026
    Kisiwa24
    • Website

    Related Posts

    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026
    Ajira

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026
    Ajira

    NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania 2026

    March 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20261,871 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025547 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025454 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20261,871 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025547 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025454 Views
    Our Picks

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    March 7, 2026

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.