Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal Leo 2025
    Ajira

    NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal Leo 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24October 4, 2025No Comments4 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Nafasi Mpya za Kazi Ajira Portal, Utumishi na Serikalini 2025, Nafasi za Kazi Utumishi, nafasi za kazi Ajira Portal, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo,wiki hii na mwezi huu kutoka serikalini, Utumishi na Ajira portal, Habari kama wewe ni miongoni mwa wanaotafuta kazi kutoka serikalini basi makala hii itaangazia nafasi mpya za kazi zinazotangazwa na serikali kila siku kupitia tovuti ya Utumishi na ile ya Ajira Portal.

    NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal Leo 2025

    Kuhusu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali na hadhi ya Idara ya kujitegemea iliyoanzishwa hasa ili kuwezesha mchakato wa kuajiri wa wafanyakazi katika taasisi mbalimbali za Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa na Sheria ya Utumishi wa Umma ya Nambari ya 8 0 ya 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Nambari ya 18 ya 2007, kifungu cha 29 ((1).

    Maono ya Sekretarieti ya Ajira

    • Kuwa kituo cha ubora katika huduma ya umma kuajiri katika kanda.

    Kazi Kuu za Sekretarieti ya Ajira (PSRS)

    Kufanya kuajiri watumishi wa umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia kanuni za usawa, uwazi na sifa na pia kutoa ushauri kwa waajiri juu ya maswala yanayohusiana na ajira.

    Kazi Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    1. Kuajiri wafanyakazi kwenye taasisi za Umma,Jukumu kuu la PSRS ni kuwezesha kuajiri katika Huduma ya Umma.
    2. Kutafuta wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa database kwa wataalamu hao kwa ajili ya kuajiri rahisi;
    3. Kurejista wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya urahisi wa rejea ya kujaza nafasi tupu;
    4. Kutangaza nafasi za kazi zinazotokea katika huduma ya umma;
    5. Kuhusisha wataalam husika kwa madhumuni ya kufanya mahojiano
    6. Kushauri waajiri juu ya masuala mbalimbali yanayohusiana na kuajiri, na
    7. Kufanya kitendo kingine chochote au kitu ambacho kinaweza kuelekezwa na Waziri anayehusika na Huduma ya Umma.

    Maadili ya Msingi Sekretarieti ya Ajira

    Thamani za msingi za PSRS ni msingi ya utendaji wa kazi na mwenendo katika kukabiliana na mabadiliko katika jamii, serikali, siasa, na teknolojia.

    1. Kufuatilia ubora katika utoaji wa huduma.
    2. Ushikamanifu kwa Serikali.
    3. Kufanya kazi kwa bidii.
    4. Uadilifu.
    5. Fadhili kwa wote.
    6. Kuheshimu sheria
    7. Matumizi sahihi ya taarifa rasmi

    NAFASI za Kazi Ajira Portal October 2025

    Ili kuweza kusoma Vigezo na jinsi ya kutuma maombi tafadhari bonyeza hapo kila nafasi ya kazi hapo chini

    • BONYEZA HAPA KUSOMA AJIRA ZOTE KUTOKA AJIRA PORTAL

    • BONYEZA HAPA KULOGIN KWENYE ACCOUNT YAKO AJIRA PORTAL

    • BONYEZA HAPA KUJISAJIRI/KUFUNGUA AKAUNTI AJIRA PORTAL

    Linapo kuja swala la wapi sehemu salama ya kupata matangazo sahihi ya Ajira basi Ajira portal na Utumishi ndio sehemu sahihi. Kama wewe ni moja ya mamia wanaofikilia kupata kazi serikalini basi ni vyema ukatembelea ukwasa huu mara kwa mara ili uweze kupata matangazo mapya ya ajira zilizo tangazwa leo, wiki hii na mwezi huu,

    Makala hii ipo kwa lengo la kukupa updates za ajira mpya 2025, kutoka serikalini, utumishi na Ajira portal

    Njinsi ya Kujisajiri na Mfumo wa Ajira Portal

    Nafasi nyingi za kazi zitolewazo na utumishi huwataka waombaji kutuma maombi kupitia tovuti ya Ajira Portal hivyo basi kwa mwombaji mpya lazima upitie baadhi ya hatua ili kuweza kutuma maombi yako

    Hapa chini ni mwongozo mfupi wa namna ya kujiunga na mfumo wa jara portal na kuweza kutuma maombi ya ajira

    1. Ingia kwenye mfumo wa ajira portal kupitia tovuti rasimi ya Ajira portal https://portal.ajira.go.tz/

    2. Ukiwa kwenye ukrasa wa mbele wa Ajira Portal nenda palipoandikwa REGISTER

    3. Ingiza Barua pepe na Nywira yako kisha bonyeza Register, utapokea ujumbe kwenye barua pepe uliyojisajili nayo fuata maelekezo.

    4. Baada ya kuactivate akaunti yako, jaza taarifa muhimu kama vile

    • Personal Details
    • Academic Qualifications
    • Professional Qualifications
    • Language Proficiency
    • Working Experience
    • Training & Workshop
    • Computer Literacy
    • Referees
    • Other Attachments
    • Declaration

    Njinsi ya Kutuma Maombi

    Baada ya kujaza taarifa zote kwa umakini na usahihi sasa utakua na uwezo wa kuweza kutuma moambi ya kazi kutokana na matangazo yaliyotolewa kwenye mfumo wa Ajira Portala kutoka utumishi na serikalini.

    1. Ingia kwneye akaunti yako ya Ajira Portal kisha bonyeza palipoandikwa ” vacancies”

    2. Kisha tafuta tangazo la kazi linaloendana na taaluma yako na bonyeza

    3. Soma na uwelewe maangizo na mahitaji ya tangazo husika la kazi

    4. Kisha bonyeza “Apply”

    Ajira zote hizi kutoka Ajira Portal,serikalini na Utumishi unaweza kutuma maombi yake kupitia tovuti rasmi ya Ajira Portal kupitia linki Ajira Portal (https://portal.ajira.go.tz/)

     

    • Beta

    Beta feature

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMatokeo ya Usaili Ajira Portal, Utumishi wa Umma, Serikalini 2025
    Next Article MFUMO wa Usaili wa Kidigitali (OATS)
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.