Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»NAFASI 300 za Sales Officers Kutoka Hope Holdings September 2025
    Ajira

    NAFASI 300 za Sales Officers Kutoka Hope Holdings September 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24September 17, 2025No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    NAFASI 300 za Sales Officers Kutoka Hope Holdings September 2025

    NAFASI 300 za Sales Officers Kutoka Hope Holdings September 2025

    Kampuni ya Hope Holdings, inayojihusisha na biashara mbalimbali jijini Dar es Salaam ikiwemo Mgahawa wa Papparoti, Supermarket ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carpets (Mlimani City), pamoja na maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, inatangaza nafasi za ajira kwa vijana 300 wa kiume watakaoajiriwa kama Maafisa Mauzo (Sales Officers) katika maduka ya AMAL CARPETS.

    Vigezo vya Waombaji

    • Awe mhitimu wa chuo.

    • Awe na Diploma ya Utawala wa Biashara, Masoko na Mauzo au kozi yoyote ya biashara inayohusiana.

    • Awe na uzoefu wa angalau mwaka mmoja katika biashara ya rejareja (retail).

    • Awe mwanaume.

    • Awe na ujuzi mzuri wa mawasiliano pamoja na ujuzi wa mauzo.

    Taarifa Muhimu

    • Usaili (interview) utafanyika kwa siku mbili: Septemba 16 na Septemba 17, kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana.

    • Waombaji wote wanatakiwa kufika Ofisi za Hope Holdings zilizopo Morocco Square Mall (jirani na taa za Morocco, Kinondoni – ghorofa ya pili) wakiwa na:

      • CV zao

      • Nakala za vyeti vyao

      • Nakala ya kitambulisho cha NIDA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNAFASI za Kazi Precision Air September 2025
    Next Article NAFASI 70 za Kazi ya Udereva Kutoka Unitrans Tanzania Limited September 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.