Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali September 2025
    Ajira

    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali September 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24September 5, 2025No Comments5 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali September 2025

    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali September 2025

    Wakurugenzi wa Halmashauri ya Mbalimbali Tanzania wanapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

    2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

    3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

    4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.

    5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Kidato cha VI, Astashahada, Stashahada.

    6. Wasailiwa kada ya Dereva watatakiwa kuja na Leseni ya Udereva ambayo haijaisha muda.

    7. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form IV/VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

    8. Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

    9. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

    10. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA).

    11. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

    12. Wasailiwa kada ya Dereva watatakiwa kuja na cheti kutoka Chuo cha Usafirishaji NIT au Chuo kingine kilichoainishwa, baada ya kufuzu Mafunzo ya Udereva.

    13. Kwa wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana kwenye Cheti cha kuzaliwa, NIDA na Vyeti vya taaluma watatakiwa kuja na DEEP POLL kutoka kwa Kamishina wa Ardhi.

    14. Wasailiwa ambao majina yanatofautiana herufi watatakiwa kuja na Kiapo cha majina (Affidavit)

    15. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.

    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 05-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI 05-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA 05-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MASASI 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) 04-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI 03-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA 03-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI 03-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA 03-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI BABATI 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA LA ILEMELA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHALINZE 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUMBULI 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA UKEREWE 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI NEWALA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA KAHAMA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA 02-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA GEITA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMSHAURI YA WILAYA KARAGWE 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO 01-09-2025
    • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA 01-09-2025

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAJINA ya Walioitwa Kazi Taasisi Mbalimbali Utumishi September 2025
    Next Article NAFASI za Kazi Shope Sales Taifa Gas September 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202548 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202548 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.