Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano TAMISEMI
    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano TAMISEMI

    Kisiwa24By Kisiwa24July 5, 2025No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji waliowasilisha maombi ya ajira ya Mkataba wa nafasi ya Afisa
    Lishe mwezi Mei, 2025 kuwa mchakato wa uchambuzi umekamilika.

    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano TAMISEMI

    Hivyo waombaji wote waliokidhi vigezo. wanatakiwa kushiriki katika usaili (Oral interview) kwa njia ya mtandao (live zoom). Usaili huu umepangwa kufanyika siku ya Jumanne tarehe 8  Julai, 2025 kuanzia saa 4:00 asubuhi. Wasailiwa wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

    1. Usaili utafanyika kwa tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili, muda na sehemu ambapo usaili utafanyika ni mahali alipo mwombaji kwa njia ya zoom.

    2. Kila msailiwa anatakiwa kuandaa kompyuta mpakato/tablet au Ipad pamoja na kifurushi cha Internet kumwezesha kushiriki katika usaili kupitia zoom.

    3. Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia muda aliopangwa kuanza usaili.

    4. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao dakika tano kabla ya muda aliopangiwa kuanza usaili.

    NB: Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano TAMISEMI

    Ili kuweza kusoma majina tafadhari bonyeza linki hapo chini ilinkupakua PDF ya majina

    BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleApp za Kutengeneza Pesa Mtandaoni Tanzania 2025
    Next Article TAMISEMI: Form Five Second Selection 2025/2026 PDF Download
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.