Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025
    Ajira

    JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24June 5, 2025No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    BONYEZA HAPA KUPATA FORM YA MAOMBI

    JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025, Mfumo wa kutuma maombi ya kazi tume ya utumishi wa Mahakama – Judicial Service Commission – Job Application Portal

    JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025

    Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kusimamia masuala ya ajira, nidhamu, na maendeleo ya watumishi wa mahakama. Tume hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa mfumo wa utoaji haki unakuwa na watumishi wenye weledi, maadili na ufanisi unaohitajika ili kukuza haki na usawa mbele ya sheria. Pia, hutoa ushauri kwa Mhe. Jaji Mkuu juu ya masuala mbalimbali yanayohusu utumishi wa mahakama ili kuhakikisha kuwa uendeshaji wa shughuli za mahakama unazingatia viwango vya kitaaluma na kisheria.

    Majukumu mengine ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni pamoja na kushughulikia masuala ya ajira mpya, kupandisha vyeo, na kushughulikia malalamiko au migogoro ya kiutumishi miongoni mwa watumishi wa mahakama. Kwa kufanya kazi kwa kushirikiana na idara nyingine za serikali na mashirika ya kimataifa, tume hii inasaidia katika kuimarisha mfumo wa haki nchini. Kwa hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama ni mhimili muhimu katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bora za kimahakama kupitia watumishi waliobobea na wanaowajibika.

    Mfumo wa Kutuma Mambi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Ili kuweza kutuma maombi ya ajira zilizotangawa na tume ya utumishi wa mahakama tafadhari fuata hatua hizi hapa chini:

    Kwanza lazima uwe umesha jisajiri na mfumo wa maombi ya kazi wa tume ya utumishi wa Mahakama,kama bado Bonyeza HAPA kujisajiri sasa

    Baada ya kujisajiri fuata hatua hizi hapa

    1. Ingia kwenye tovuti rasmi ya Tume ya Utumishi wa Mahakama

    2. Kisha bonyeza Sign in kwa kuingiza login detail zako ikiwa ni email address na password ulizotumia wakati wa kufungua account yako.

    3. Ukishaingia kwenye mfumo neda sehemu ya HOME na tafuta aina ya kazi unayohitaji kutuma maombi kisha bonyeza neno “Apply”

    4. Mfumo utakufungulia form ya kutuma maombi (Judicial Service Commission – Application Form)

    5. Form itakutaka ujaze taarifa za msingi.kama vile

    A) Taarifa Binafsi(Persoal Details)

    • Majina matatu
    • Tarehe ya kuzaliwa
    • Jinsia na hali ya ndoa
    • Mahari unapoishi,Mkoa na namba ya simu
    • Kitambusho cha Taifa,Pasport Size na cheti cha kuzaliwa

    B) Taarifa za Kitaaluma

    • Taarifa za kidato cha nne
    • Taarifa za kidato cha sita
    • Taarifa za elimu ya juu

    C) Taarifa za kuajiriwa

    • Kama umeajiwa au hujaajiriwa

    Baada ya kujaza taarifa zote kwa usahihi tafadhari pitia tena ili kujiridhisha na taarifa ulizozijaza kama ni za kweli na sahihi

    Kisha bonyeza neno ‘Submit Application” hadi hapo utakua umesha fanya application ya ajira.

    Tukutakie kila lakheri kwenye safari yako mpya ya matumaini ya ajira za Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAMBO ya Muhimu Fomu ya Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025
    Next Article MFUMO wa Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.