Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga June 2025
    Ajira

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga June 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24June 1, 2025No Comments4 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
    Utawala Bora kupitia barua yenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, 2025. Hivyo; anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi zifuatazo;-

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya  Wilaya ya Shinyanga June 2025

    MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI (4)

    SIFA ZA MWOMBAJI

    Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada au NTA level 6 katika fani ya utunzaji wa kumbukumbu, kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, na mwenye ujuzi wa Kompyuta.

    MAJUKUMU YA KAZI KWA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II

    i. Kuorodhesha barua zinazoingia masjala kwenye rejista (incoming correspondence register)
    ii. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi kwenye rejista (outgoing correspondence register)
    iii. Kusambaza majalada kwa watendaji (action officers)
    iv. Kupokea majalada yanayotoka kwa watendaji
    v. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya taasisi (file tracking)
    vi. Kuchambua, kuorodhesha na kupanga nyaraka za taasisi katika majalada kulingana na somo husika (classification indexing)
    vii. Kupanga na kudhibiti nyaraka katika vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu (repositories).
    viii. Kuhudumia na kuwasimamia watafiti katika chumba cha utafiti.
    ix. Kurudisha majalada yaliyosomwa kwenye ghala la kuhifadhia nyaraka. Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa, 20Barabara ya Mwanza, 37182 Chamaguha, S.L.P.28, Shinyanga. Simu: 028-2763213, Barua pepe: md@shinyangamc.go.tz, tovuti: www.shinyangamc.go.tz

    MASHARTI YA KAZI

    Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali na ajira ya kudumu (TGS, C1)

    DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 10)

    SIFA ZA KUAJIRIWA

    Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (Form Six), Awe na Lessen ya Daraja la C au E ya uendeshaji wa magari ambayo ameifanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha
    VETA au NIT au Chuo kinachotambulika na Serikali.

    MAJUKUMU YA KAZI YA DEREVA DARAJA LA II

    i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
    ii. Kuwapeleka watumishi kwenye safari za kikazi;
    iii. Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari;
    iv. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
    v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari (Logbook)
    vi. Kufanya usafi wa gari.

    MSHAHARA

    Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali na Ajira ya Kudumu (TGS B1).

    MASHARTI YA JUMLA

    i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
    ii. Waombaji wawasilishe maelezo binafsi (Curriculum Vitae) yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye Anuani na Namba za simu za kuaminika pamoja na majina
    ya wadhamini watatu (Referees) wa kuaminika. Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa, 20Barabara ya Mwanza, 37182 Chamaguha, S.L.P.28, Shinyanga. Simu: 028-2763213, Barua pepe: md@shinyangamc.go.tz, tovuti: www.shinyangamc.go.tz
    iii. Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vya Kidato cha Nne au Sita, Taaluma na cheti cha kuzaliwa. Waombaji watakaowasilisha” Result Slip”,” Statement of Results”,” Provisional Results” au” Transcripts HAVITAKUBALIKA.
    iv. Kwa Waombaji waliosoma nje ya Nchi, Elimu ya Kidato cha Nne au Sita wawasilishe uthibitisho kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
    v. Kwa waombaji waliosoma Vyuo nje ya Nchi wawasilishe uthibitisho kutoka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
    vi. Waombaji watakokidhi sifa zinazotakiwa ndio watakaoitwa katika usaili.
    vii. Barua ya maombi iliyosainiwa na Mwombaji inaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili.
    viii. Waombaji wenye mahitaji maalum (special needs/disability) wanatakiwa kuainisha kwenye maombi yao.
    ix. Waombaji watakaowasilisha Taarifa za kughushi watachukuliwa hatua kwa mujibu wa Sheria za Nchi.
    x. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba. isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
    xi. Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 13 Juni, 2025.
    xii. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).
    xiii. Maombi yatakayowasiIishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

    • BONYEZA HAPA KUPATAKUA TANGAZO
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHistoria ya Dangote na Utajiri wake
    Next Article MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Uliofanyika 31 Mei 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202552 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202552 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.