Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»VITA ya Ubingwa NBC Premier League 2024/2025
    Michezo

    VITA ya Ubingwa NBC Premier League 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24May 27, 2025No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Ikiwa msimu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara unaelekea mwisho vita ya nani atakua bingwa wa msimu  huu inaendelea kua kali huku timu kubwa za ligi hii Simba Scna Yanga Sc ziki zidi kuonyeshana ubabe.

    Hadi kufikia sasa ligi kuu ya NBC Tanzania bara imesalia na michezo 3 jumla ya michezo 27 imesha chezwa. Msimamo wa ligi kwa nafasi ya kwanza na nafasi ya 2 ni utofauti wa alama 1 tu.

    Yanga Sc aliyoko katika nafasi ya kwanza inaongoza ligi ikiwa na jumla ya pointi 73 huku ikisaliwa na michezo 3 tu kukamilisha michezo yote 30.

    Huku Simba Sc iliyoko katika nafasi ya 2 inajumla ya pointi 72 pointi moja nyuma ya klabu ya Yanga Sc huku ikiwa imecheza michezo 27 na kusalia na michezo mitatu tu.

    Mechi za Yanga Sc Zilizobakia Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

     

    Mechi za Simba Sc Zilizobakia Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

     

    Kama ikitoke timu zote 2 zikashinda michezo miwili ya mwisho basi mchezo wa derby ya karia koo ndio utakao amua nani bingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu huu wa 2024/2025.

    Uamuzi wa Mchezo wa Simba vs Yanga Kwa Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2024/2025

    Kulekea mchezo huu baada ya timu zote kushinda michezo yote miwili ya mwisho matokeo yatakua hivi

    • Yanga Sc Alama 79
    • Simba Sc Alama 78

    – Kama mchezo utamalizika kwa Yanga kuibika na ushindi basi yanga atakua amefikisha alama 82 na ataawazwa kua bingwa wa ligi kuu ya NBC 2024/2025

    – Kama Simba Sc itaibuka na ushindi katika mchezo huu basi Simba ndie atakuwa bingwa wa ligi hii  kwa kufikisha pointi 81.

    – Pia kama mchezo utamalizika kwa sare ya aina yoyote ile basi Yanga atakua bingwa kwani atamaliza ligi akiwa ba pointi  80 huku Simba akiwa na pointi 79.

    Swali ni je nani kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara 2024/2025.

    Embu acha utabili wako kwenye comment hapo chini

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSimba Sc vs Singida Black Stars Nusu Fainali CRDB Federation CUP 31 Mei 2025
    Next Article MATOKEO Ya Simba Sc vs Singida Black Stars Leo 28 Mei 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202537 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202537 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.