Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Makala»Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu 2025
    Makala

    Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24May 24, 2025No Comments5 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Viwango vipya vya mishahara ya walimu serikalini, viwango vya mishahara ya walimu, Habari mwana habarika24, karibu katika makala hii mambayo kwa kinaitaenda kukuelezea juu ya viwango vya mishahara ya walimu serikalini. Kama wewe ni mwalimu na unakaribia kuajiliwa au ni mwajiriwa katika shule za serikali basi ni muhimu kuweza kufahamu kiwango cha mshahara wako kulingana na kiwango chako cha kielimu.

    Walimu wa Serikalini

    Hawa ni watumishi waliohiimu mafunzo ya uwalimu katika nganzi tofauti tofauti na kuajiliwa katika shule za kisarikali. Hawa ni watumishi wa kiuwalimu wanolipwa mishahara yao na serikali. Walimu ni watu muhimu sana katika Taifa kwani ndio kichocheo kikubwa cha kuondoa ujinga na kupandikiza maarifa kwa wananchi kupitia misingi na miongozo ya kitaaluma iliyowekwa na wizara ya elimu.

    Hivyo basi ufanisi wa jukumu la mwalimu kwa wanafunzi wake huongezeka kwa kuwepo na maboresho ya mishahara yao na ndio maana serikali kupitia mamlaka husika hufanya mabadiliko ya ongezeko la mishahara ya walimu kila mwaka.Hii huhochea bidii na ufanisi wa walimu wawapo katika majukumu yao ya kuwafundisha wanafunzi.

    Tume ya Utumishi wa Umma (Public Service Commission)

    Tume ya utumishi wa Umma ndio chombo kikuu kinachojishughulisha na upangaji wa viwango vya mishahara ya watumishi wote wa Umma ikiwemo na walimu. Ikumbukwe kua viwango vya mishahara ya watumishi wa Umma hubadilika kila mwaka kutokana na mambo kadha wa kadha, kama vile

    • Mbadiliko ya Kiuchumi
    • Kupanda kwa Gharama za Maisha
    • Mabadiriko ya sera za Serikali
    • Kuongeza Motisha kwa wafanyakazi wa Umma

    Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini

    Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini 2025

    Ngazi ya Mshahara Mshahara wa Mwanzo (Tshs.) Nyongeza ya Mwaka (Tshs.)
    TGTS A
    TGTS B
    TGTS B.1 479,000 10,000
    TGTS B.2 489,000 10,000
    TGTS B.3 499,000 10,000
    TGTS B.4 509,000 10,000
    TGTS B.5 519,000 10,000
    TGTS B.6 529,000 10,000
    TGTS C
    TGTS C.1 590,000 13,000
    TGTS C.2 603,000 13,000
    TGTS C.3 616,000 13,000
    TGTS C.4 629,000 13,000
    TGTS C.5 642,000 13,000
    TGTS C.6 655,000 13,000
    TGTS C.7 668,000 13,000
    TGTS D
    TGTS D.1 771,000 17,000
    TGTS D.2 788,000 17,000
    TGTS D.3 805,000 17,000
    TGTS D.4 822,000 17,000
    TGTS D.5 839,000 17,000
    TGTS D.6 856,000 17,000
    TGTS D.7 873,000 17,000
    TGTS E
    TGTS E.1 990,000 19,000
    TGTS E.2 1,009,000 19,000
    TGTS E.3 1,028,000 19,000
    TGTS E.4 1,047,000 19,000
    TGTS E.5 1,066,000 –
    TGTS E.6 1,085,000 –
    TGTS E.7 1,104,000 –
    TGTS E.8 1,123,000 –
    TGTS E.9 1,142,000 –
    TGTS E.10 1,161,000 –
    TGTS F
    TGTS F.1 1,280,000 33,000
    TGTS F.2 1,313,000 –
    TGTS F.3 1,346,000 –
    TGTS F.4 1,379,000 –
    TGTS F.5 1,412,000 –
    TGTS F.6 1,445,000 –
    TGTS F.7 1,478,000 –
    TGTS G
    TGTS G.1 1,630,000 38,000
    TGTS G.2 1,668,000 –
    TGTS G.3 1,706,000 –
    TGTS G.4 1,744,000 –
    TGTS G.5 1,782,000 –
    TGTS G.6 1,820,000 –
    TGTS G.7 1,858,000 –
    TGTS H
    TGTS H.1 2,116,000 60,000
    TGTS H.2 2,176,000 –
    TGTS H.3 2,236,000 –
    TGTS H.4 2,296,000 –
    TGTS H.5 2,356,000 –
    TGTS H.6 2,416,000 –
    TGTS H.7 2,476,000 –

    Mambo yanayoleta Utofauti katika Mishahara ya Walimu

    Viwango vya mishahara tulivyoviweka hapo juu si mpango wa kubahatisha tu ni matokeo ya mkusanyiko wa sababu mbali mbali uliopelekea kuwepo vya utofauti wa mishahara ya walimu wa umma katika viwango mbali mbali.

    Hapa chini ni miongoni mwa sababu zinazopelekea kuwepo kwa utofauti wa mishahara baina ya walimu

    1. Kigezo cha elimu

    Elimu ya wahitimu wa mafunzo ya uwalimu moja kwa moja yana athiri kiwango cha  mshahara kwa mwalimu husika. Mfano walimu wa Tanzania hugawanywa katika makundi makuu matatu

    1. Walimu wa Cheti ( Certificate)
    2. Walimu wa ngazi ya Diploma ( stashahada)
    3. Walimu wa Digree ( Shahada)

    Katika swala la mshahara  hapa lazima kuwe na utofauti mwalimu wa digree hawezi kua na mshahara sawa na mwalimu wa cheti.

    2. Shule Wanazotumikia.

    Hapa tunaangalia kati ya shule binafsi na zile za umma, kumekua na utofauti mkubwa sana wa kimishahara kati ya walimu wa shule binafsi na wale wa shule za serikali. kwa mfano walimu wa shule ya msingi katika shule za binafsi analipwa mshahara mkubwa sana kuliko yule anayefundisha katika shule za msingi za serikali.

    3. Kujiendeleza Kielimu

    Kwa wale waotumia muda wao katika kujienedeleza kielimu pia hubadili viwango vayo ya mishahara, mfano kwa aliyekua na elimu ya stashahada na alikua akilipwa mshahara wa kiwango cha stashada akajiendeleza kielimu hadi kufikia shahada hata kiwango cha mshahara wake kitaongezeka kutoka cha mwanzo kwenda cha juu.

    4. Muda katika Utumishi

    Hapa tunazungumzia muda alioutumia mwalimu katika kazi zake mwalimu aliyehudumu kwa miaka 20 kazini katika ngazi ilele ile ya kielimu hawezi kua na mshahara sawa na mwalimu aliyekua na mwaka mmoja kazini.

    5. Ufanisi wa Mwalimu

    Ufanisi wa kikazi wa mwalimu pia unaweza kua chahu ya yeye kuweza kungezewa mshahara au posho ili kuweza kuwa kama motisha katika kazi yake, Pindi inapofanyika tathimini ya kiutendaji na ikagundulika kuwa juhudi na ufanisi wa mwalimu ni mkubwa katika utumishi wake basi anaweza kufanyiwa nyongeza ya mshahara wake au posho.

    Soma Pia;

    1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Dar es Salaam

    2. Aina Za Majeshi Tanzania

    3. Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024

    4. Bei ya iPhone 16 ProTanzania 2024

    5. Orodha ya Kambi za JKT Tanzania

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleAfisa Maendeleo ya Jamii na Majukumu Yake
    Next Article EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Makala

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026
    Makala

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 2025
    Makala

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202551 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202551 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.