Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Siafa za Kujiunga na Vyuo Tanzania»Sifa za kujiunga na kozi za Certificate (cheti) 2025/2026
    Siafa za Kujiunga na Vyuo Tanzania

    Sifa za kujiunga na kozi za Certificate (cheti) 2025/2026

    Kisiwa24By Kisiwa24April 29, 2025No Comments4 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Sifa za kujiunga na kozi za Certificate, Habari mwana Habarika24, karibu tena katika makala hii ambayo inaenda kuangazia sifa za juma za kujiunga na certificate kozi. Kama wewe ni muhitimu wa kidato cha nne na unafikia kuendeleza elumu yako kwa kujiumga na kozi za cheti basi makala hii ni ya muhimu sana kwako.

    Sifa za kujiunga na kozi za Certificate
    Sifa za kujiunga na kozi za Certificate

    Kabla hujatuma maombi kwenda kwenye chuo chochote ili kujiunga na kozi za cheti basi ni muhimu kwanza kw wewe kuweza kusoma makala hii

    Kozi Za Certificate (Cheti)

    Kuna viwango takribani 4 katika kiwango cha elimu cha cheti; Viwango hivyo vya elimu ni pamoja na;

    1. Astashahada ya Msingi (NTA Level 4)
    2. Cheti cha Ufundi (NTA Level 5)
    3. Diploma ya Kawaida (NTA Level 6)
    4. Shahada (Degree Programmes)

    Ili kujiunga na ngazi hizo hapo juu za elimu lazima uwe na sifa maalumu, na kumbuka kua sifa za kujiunga na kozi za certificate hubadilika kutoka ngazi moja ya elimu hadi nyingine. Hapa chini tumekuwekea sifa za kujiunga na kozi za certificate (cheti) kwa kila ngazi ya elimu kuanzia NTA LEVELA 4 hadi SHAHADA.

    Sifa za kujiunga na kozi za Certificate

    Kutokana na utofauti wa sifa kutoka ngazi moja hadi nyingine ya kielimu basi hapa chini tumetenganisha sifa hizo kulingana na ngazi hizo za kielimu;

    Astashahada ya Msingi (NTA Level 4)

    Ili uweze kujiunga na ngazi ya elimu ya Astashahada ya Msingi basi ni lazima uwe na sifa na vigezo vifuatavyo

    1. Elimu ya Kidato Cha NNE

    Ili uweze kujiunga na kozi hii ya astashahada ya msingi ni lazima uwe umehitimu elimu ya sekondari kidato cha nne, Pia uwe umepata ufaulu wa masomo manne kiwango cha “D” ukiachilia mbali masomo ya Dini.

    2. Cheti cha NVA Level 3

    Pia lazima uwe na Cheti cha NVA Level 3 katika fani husika

    3. Cheti cha NVA Level 2

    Mbali na sifa hizo hapo juu pia ili uweze kujiunga na ngazi hii ya elimu ni lazima uwe na Cheti cha NVA Level 2 hasa kwa wale wanaotaka kujiunga na kozi za uhazili

    Cheti cha Ufundi (NTA Level 5)

    Ili uweze kujiunga na Cheti cha Ufundi (NTA Level 5) hakikisha unasifa zifuatazo hapa chini;

    1. Elimu ya Kidato cha Nne (CSEE)

    Kwa yule muhitimu wa kidato cha nne lazima awe na Cheti cha Astashahada cha NTA Level 4 kwenye kozi unayotaka kusomea na cheti hicho kiwe kunatambulika na NACTVET.

    2. Elimu ya Kidato cha Sita (ACSEE)

    Ili kujiunga na kozi ya cheti cha ufundi basi lazima mwombaji awe na ufaulu japo wa pass moja kwenye masomo yoyote yale isipokua masomo ya kidini

    3. Kozi za Ugavi na Ununuzi

    Kwa yule mwenye elimu ya kidato cha sita basi awe na ufauli wa pass moja na subsidiary mbili kwenye masomo yoyote yali ukiachilia mbali masomo ya kidini. Sifa hii uhusisha kozi za ugavi na ununuzi peke yake.

    4. Kozi za Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu (HR)

    Kwa kozi za utawala na usimamizi wa rasilimali watu (HR) mwombaji aliyehitimu kidato cha sita anapaswa awe na ufaulu wa  pass moja na pia subsidiary moja kwenye masomo yoyote yale isipokua masomo ya kidini.

    Kozi ya Diploma ya Kawaida (NTA Level 6)

    Ili uweze kujiunga na Kozi ya diploma ya kawaida ya NTA Alevel 6 ni lazima uwe umaehitimu kidato cha nne na unacheti cha ufundi cha NTA level 5 kwenye kozi unayotaka kuomba na kiwe kinatambulika na NACTVET

    Kozi za Shahada (Degree)

    Ili kuweza kujiunga na kozi za shahada basi unapaswa kuwa na sifa zifuatazo

    • Kwa elimu ya kidato cha sita unapaswa kua na ufaulu wa principal mbili katika masomo yako ya msingi
    • Kwa elimu ya Diploma ya kawaida unapaswa kua na GPA inayoanzai 3.0 na kuendelea kwenye kozi unayotaka kuomba.

    Muda wa Kozi

    Kozi ya Astashahada ya Msingi (NTA Level 4)

    -Muda wa kozi hizi ni mwaka mmoja tu wenye mihula miwili.

    Kozi ya Cheti cha Ufundi (NTA Level 5)

    -Kozi hizi za cheti cha ufundi hudumu kwa muda wa mwakoa mmoja tu ambao pia huwa na mihula miwili.

    Kozi ya Diploma ya Kawaida (NTA Level 6)

    -Kozi hizi za diploma ya kawaida hudumu kwa muda wa mwakoa mmoja tu ambao pia huwa na mihula miwili.

    Kozi ya Shahada (Degree)

    -Muda wa kozi hizi ni miaka mitatu.

    Kumbuka kama tulivyosema hapo awali sifa na vigezo vya kuweza kujiunga na kozi hizi zinatofautiana kutoka koazi moja hadi kozi nyingine. Hivyo basi kama unataka kujiunga na kozi flani hakikisha unasoma sifa na vicezo vyake kwa kozi hiyo husika.

    Machaguzi ya Mhariri;

    1. Sifa Za Kujiunga Na Kozi Ya Information Technology (IT)

    2. Sifa Za Kujiunga Na Kozi Za Uchumi Tanzania

    3. Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSifa Za Kujiunga na Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma 2025/2026
    Next Article Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Diplomasia 2025/2026
    Kisiwa24

    Related Posts

    Siafa za Kujiunga na Vyuo Tanzania

    Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma 2025/2026

    May 18, 2025
    Siafa za Kujiunga na Vyuo Tanzania

    Sifa Za Kujiunga Na Vyuo Mbalimbali Tanzania 2025/2026

    May 7, 2025
    Makala

    Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Diplomasia 2025/2026

    April 29, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202550 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202550 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.