Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
    Michezo

    Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24April 25, 2025No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Wafungaji Bora CAF Confederation Cup 2024/2025, CAF Confederations Cup Standing 2024/2025,CAF Confederation Cup Top Scores 2024/2025.  Vinara wa magoli kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog Karibu katika makala yako pendwa ya kimichezo ambayo kwa tathmini ya kina itaenda kuangazia juu ya orodha ya wafungaji bora CAF Confederation Cup Msimu wa 2024/2025.

    Kama wewe ni shabiki na mfuatiliaji wa michuano hii ya kombe la shirikisho barani Afika basi utakua huna budi kuweza kufahamu ni wachezaji gani wanapigania kinyang’anyiro cha ufungaji bora ndani ya mashindano haya.Hadi sasa tari hatua ya makundi imesha kamilika na michuano hii inaelekea kwenyr hatua ya Robo fainali huku tukishuhudia klabu pekee inayoshiliki michuano hii kutokea Tanzania Simba SC ikifuzu hatua ya robo fainali kwa kuongoza kundi A.

    Timu zilzioweza Kusonga Mbele Hatua ya Robo Fainali.

    1. CS Constantine
    2. Simba
    3. RSB Berkane
    4. Stellenbosch
    5. USM Alger
    6. ASEC
    7. Zamalek
    8. Al Masry

    Timu zilizoweza Kufudhu Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    1. Simba SC
    2. Stellenbosch FC
    3. RS Berkane
    4. CS Constantine

    Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    Hapa chini ni orodha ya vinara wa magoli katika michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup Top Scores 2024/2025)

    # Mchezaji Timu Magoli Penati
    1. Zakaria Benchaâ CS Constantine 5 0
    2. I. Belkacemi USM Alger 5 1
    3. K. Denis Simba 4 0
    4. F. Ben Youssef AL Masry 4 0
    5. I. Ihemekwele Enyimba 4 0
    6. I. Dayo Renaissance Berkane 4 1
    7. A. de Jong Stellenbosch 4 1
    8. B. Dib CS Constantine 3 0
    9. Zizo Zamalek SC 3 0
    10. L. Ateba Simba 3 0
    11. S. Diarrassouba ASEC Mimosas 3 0
    12. Francisco Matoco Onze Bravos 3 0
    13. P. Bassène Renaissance Berkane 3 0
    14. S. Jaziri Zamalek SC 3 0
    15. Y. Zghoudi Renaissance Berkane 3 0
    16. L. Mojela Stellenbosch 3
    17. J. Ahoua Simba 3 1
    18. Joaquim Cristóvão Paciência Onze Bravos 3 1
    19. J. Atule Enyimba 2 0
    20. D. Titus Stellenbosch 2 0

    Hitimisho

    Kama yalivyokua mashindano mengine ya mpira wa miguu ligi ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa msimu huu mpya wa 2024/2025, umekua wa kusisimua zaidi huku wachezaji wakiendelea kupambana kutafuta ufungaji bora. Kutoka Tanzania kwenye klabu ya Simba mchezaji machachali Kibu Denis naye anazidi kupambana kuhakikisha anaingia kwenye nafasi ya juu zaidi katika orodha ya vinara wa magoli kwa msimu huu. Hatu aya makundi imesha pita na sasa tunasubulia kuanza kwa hatua ya robo fainali ili tuone mabadiliko ya orodha hii ya wafungaji bora kwenye ligi ya kombe la shirikisho barani Afrika 2025.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleOrodha Ya Mabingwa Klabu Bingwa Afrika
    Next Article Timu Yenye Makombe Mengi Tanzania 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202550 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202550 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.