Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Ratiba ya Simba Sc Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
    Michezo

    Ratiba ya Simba Sc Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24April 9, 2025No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Ratiba ya Simba Sc Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

    Rasmi  Simba Sc klabu imetinga hatua ya nus Fainali za kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuchapa na kuitoa klabu ya Al Masry katika hatua ya robo fainali kwenye  mchezo wa pili uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa mikwaju ya penalti. Katika mikwaju hiyo Simba Sc iliweza kushnda mikwaju 4 huku Al Masry waki shinda mkwaju mmoja na kupoteza mikwaju 2 iliyochezwa na kipa mashuhuti Moussa Camara  na kupa ushidi Simba Sc hatimaye kutinga Nusu Fainali.

    Rasmi Simba SC vs Stellenbosch FC Nusu Fainali Kombe la Shirikisho CAF 2024/25

    Simba baada ya kushinda ilikua ikisubili matokeo ya mchezo wa Stellenbosch na Zamalek SC zote za Afrka ya Kusini ili moja kuungana na Simba Kanika nusu fainali. Simba imeikalibisha Stellenbosch baada ya kuchakazi Zamarek kes goli 1 kwa 0 na hivyo kutinga nusu fainali kuivaa Simba Sc.

    Baada ya matokeo hayo Shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF tayari limesha tangaza ratiba ya nusu fainali ya mchezo wa Simba vs Stellenbosch.

    Simba Sc itaanza mchezo wake wa kwanza wa nusu fainali nyumbani katika uwaja wa Benjamin mkapa kunako tarehe 20 April 2025. Huku mchezo wa 2 ukifanyika siku ya 27 Apeil 2025 Simba itasafiri kuelekea nchini nAfrika ya Kusini

    Ratiba ya Simba Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

    Hpa chini Ni ratiba ya Simba Sc Nusu fainali kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    1. Simba Sc vs Stellenbosch (20 April 2025)
    2. Stellenbosch. vs Simba Sc (27 April 2025)

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleOrodha ya Vyuo Vya Udaktari Tanzania 2025
    Next Article Collector Job Vacancy at Luckywell Limited April 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026
    Michezo

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026
    Michezo

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,362 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,362 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.