Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»PDF Majina Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto April 2025
    Ajira

    PDF Majina Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto April 2025

    Kisiwa24By Kisiwa24April 1, 2025No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    PDF Majina Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto April 2025

    BOFYA HAPA KUPATA PDF YA MAJINA YA USAILI JESHI LA ZIMAMOTO

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuwatangazia vijana walioomba kuajiriwa katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa kuajiri ZIMAMOTO (ajira.zimamoto.go.tz), Usaili utafanyika kuanzia tarehe 05 Aprili, 2025 hadi 17 Aprili, 2025 kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa kila kikundi.

    Waombaji walioomba kuajiriwa na elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 05 hadi 09 Aprili, 2025 saa 1:00 asubuhi katika mikoa waliyochagua wakati wa kutuma maombi yao.

    Waombaji wenye Shahada ya Kwanza na fani mbalimbali usaili wao utafanyika katika Ukumbi wa Andengenye – Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma kuanzia tarehe 14 Aprili hadi 17 Aprili, 2025 saa 1:00 asubuhi kwa kila kikundi.

    Tafadhali kumbuka yafuatayo:

    • Kila mtu anatakiwa kufika kwa usaili kwa tarehe na muda uliopangwa na si vinginevyo.
    • Kuwa nadhifu na kuvaa nguo za heshima.
      Fika na vyeti halisi vyote vilivyotumika katika maombi ya ajira kama vile kidato cha nne, kidato cha sita, cheti cha ufundi stadi, cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho wa taifa (NIDA)
    • Kwa wale wanaoomba nafasi ya Udereva, pamoja na maelekezo haya, wanatakiwa kuleta leseni halisi ya Daraja E.
    • Gharama za usafiri, chakula na malazi ni juu ya mhojiwa kwa muda wote atakaokuwa kwenye usaili.

    Vijana watakaofanyiwa usaili katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wazingatie tarehe zao za usaili. Kwa kuongeza, mtu yeyote anayekuja kwa tarehe isiyopangwa hatakubaliwa.

    Orodha ya Vijana waliochaguliwa kwa mahojiano pamoja na vikundi inapatikana katika tangazo hili kupitia PDF Hapa chini:

    PDF YA MAJINA YA WAOMBAJI WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE

    PDF YA MAJINA YA WAOMBAJI WENYE SHAHADA

    Imetolewa na;
    Kamishna Jenerali
    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
    Makao Makuu Dodoma
    30 Machi, 2025

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi za Kazi – Tax Accountant At TPC Ltd April 2025
    Next Article Nafasi za Kazi – Direct Sales at DCB Commercial Bank April 2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.