Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi?
    Michezo

    Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi?

    Kisiwa24By Kisiwa24January 2, 2025No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 saa ngapi?, Mechi ya Yanga dhidi ya TP Mazembe ni saa ngapi?, Habari karibu katika kurasa hii fupi itakayoenda kukujibu swali lako la mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04 January 2025 itakua inachezwa saa ngapi?

    Kama uko mtandaoni unatafuta kujua mchezo kati ya Yanga na   TP Mazembe wa michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika CAF utaanza mda gani basi kwenye kurasa hii utapata majibu yako. Leo 04 January 2025 Yanga inaikaribisha TP Mazembe Jijini Dar es Salaam Tanzania katika mchezo wa marudiano wa michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.

    Taarifa kamili Kuhusu Mechi ya Yanga vs Tp Mazembe

    • Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? #CAFCL
    • Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? Yanga Africans Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? TP Mazembe
    • 📆 14.12.2024
    • Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? Benjamini Mkapa
    • 🕖 4Pm🇹🇿

    Mechi Iliyopita TP Mazembe vs Yanga

    Mchezo uliopita ulifanyika 14 December 2024 ikiwa ni mechi ya mzunguko wa 3, mchezo huu ulifanyika Nchini DR Congo katika uwanja wa Stade TP Mazembe na matokeo yalikua sare ya goli moja kwa moja.

    Msimamo wa Kundi A

    Kwenye kundi A klabu ya Yanga iko katika nafasi ya 4 ikiwa na jumla ya pointi 1 imecheza michezo 3, huku ikiwa imepoteza michezo 2 na kutoa sare mchezo 1. TP Mazembe yenyewe iko katika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 2, imecheza michezo 3, imepoteza mchezo 1 ma kutoa sare mchezo 1.

    Kundi A kwenye michguano ya klabu Bingwa Afrika linaongozwa na Al-Hilal S.C. akiwa na pointi 9 akishinda michezo yote 3, huku nafasi ya pili kisikiliwa na MC Alger akiwa na pointi 4 kashinda mchezo 1, katoa sare mchezo 1 na kupoteza mchezo 1.

    Nafasi ya Yanga kwenye mechi na TP Mazembe

    Yanga itampasa atumie uwanja wake wa nyumbani vizuri na kupata matokeo ya pointi tatu ili kuinua matumaini ya kuendelea na mashindano ya klabu bingwa kwenye hatua ya robo fainali, kama Yanga itashinda mchezo huu itapanda hadi nafasi ya 2 hivyo kusubili michezo miwili ya wisho.

    Mashabiki wengi wa klabu ya Yanga wanamatumanini makubwa sana juu ya ushindi wa mchezo huu kwani hivi karibuni kumekua na mwendelezo mzuri kwenye ligi kuu ya NBC kwani michezo 4 ya mwishini mwa mzunguko wa kwanza ameweza kushinda kwa ushindi mzuri huku wachezaji wakiwa na juhudi za hari ya juu.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    Vituo vya TIKETI Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025 CAF

    Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA

    VIINGILIO Mechi ya Yanga vs TP Mazembe 04 January 2025

    Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025

    Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleVituo vya TIKETI Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025 CAF
    Next Article NECTA Matokeo ya Kidato Cha Pili 2024/2025
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202545 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202538 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.