Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Makala»Orodha ya Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2024/2025 (Form One Selections 2025)
    Makala

    Orodha ya Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2024/2025 (Form One Selections 2025)

    Kisiwa24By Kisiwa24December 17, 2024No Comments5 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Matokeo na Shule walizopangiwa Darasa la Saba 2025, Form one selection 2024/2025, majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2024/2025, matokeo ya darasa la saba 2024/2025, shule walizopangiwa darasa la saba 2024./2025.

    Je wewe ni mzazi wa mwanafunzi aliyehitimu darasa la saba na unataka kujua ni shule ngani amechaguliwa ili kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2025, basi usijali kwani kwenye makala hii tutakupa mwongozo wa kuweza kutazama majina ya wanafunzi wa darasa la saba na shule walizopangiwa kujiunga nazo kwa kidato cha kwanza (form one selections)

    Baada ya mtihani wa darasa la saba kufanyika na matokeo kutolewa na kinachokua kinasubiliwa na wazazi walio wengi ni kujua watoto wao watapangiwa shule gani ili kujiunga na elimu ya sekondari kwa kidato cha kwanza ijulikanayo kama form one selection, kwa mwaka wa masomo wa 2024 baada ya kukamilika kwa wanafunzi wa darasa la saba kufanya mitihani na matokeo yao kutoka TAMISEMI tayari imesha tangaza upangaji wa wanafunzi wa darasa la saba kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2025.

    Hivyo basi kama mzazi wa mwanafunzi aliyehitimu darasa la saba na kupata ufaulu wa kumuwezesha kujiunga na elimu ya sekondari kidato cha kwanza huna budi kutazama ni shule ngani mwanao amepangiwa, katika makala hii tutakupa mwongozo wa jinsi ya kuangalia selection za kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025.

    Jinsi ya Kuangalia Majina ya Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2024/2025

    Tayari TAMISEMI imesha tangaza orodha ya shule walizopangiwa wanafunzi wa darasa la saba kwa mwaka wa masomo wa 2025, majina ya shule yanapatikana katika toviti rasmi ya TAMISEMI.

    Kunanjia mbalimbali za kuweza kuangalia shule walizopangiwa wanafunzi wa darasa la saba 2024/2025. Hapa chini ni baadhi ya njia hizo

    1. Tembelea Tovuti Rasmi ya Tamisemi

    Hatua ya kwanza ni kutembelea tovuti rasmi za TAMISEMI au NECTA. Hizi ni tovuti zinazotumika kutangaza matokeo ya mitihani ya taifa na taarifa za uteuzi wa wanafunzi. Kwa mwaka 2025, majina ya waliochaguliwa yatatangazwa kwenye sehemu maalum za tovuti.

    • Tafuta Sehemu ya “Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2025
    • Chagua Mkoa na Wilaya
    • Chagua Shule Ulizosoma
    • Pakua PDF ya Majina ya Waliochaguliwa

    2. Tembelea Ofisi za Wilaya

    Njia ya pili ambayo mwanafunzi anaweza kuitumia ili kuweza kutazama shule aliyopangiwa kujiunga na kidato cha kwanza ni kwa kutembelea ofisi za wilaya aliyosoma. Ukiwa kwenye ofisi za wilaya uko soma nenda kwenye ubao wa matangazo na utaon aorodha ya majina ya wanafunzi na shule walizo pangiwa hapo unaweza kuangalia jina lako na shule uliweza kupangiwa.

    3. Tembelea Shule Uliyo Soma

    Pia mwanafunzi anaweza kuona shule gani aliyopangiwa baada ya kuhiti darasa la saba kwa kutembelea shule aliyo soma kisha kwenda kwenye ubao wa matangazo mara baada ya form selection 2025 kuweza kutangazwa.

    Ili kukupa ulahisi katika makala hii tumekuwekea orodha ya shule hizo kwa kufuata mkoa uliosoma

    Orodha ya Shule walizopangiwa Darasa la Saba 2025 (Form one Selections 2024/2025)

    Hapa chini ni orodha ya shule walizopangiwa wanafunzi wa darasa la saba, ili kutazama tafadhari bonyeza mkoa uliosoma kutoka kwenye orodha ya mikoa hapa chini

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Arusha 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Dar Es Salaam 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Dodoma 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Geita 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Iringa 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Kagera 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Katavi 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Kigoma 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Kilimanjaro 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Lindi 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Manyara 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Mara 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Mbeya 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Morogoro 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Mtwara 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Mwanza 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Njombe 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Pwani 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Rukwa 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Ruvuma 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Shinyanga 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Simiyu 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Singida 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Songwe 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Tabora 2024/2025

    Shule walizopangiwa Darasa la Saba Mkoa Wa Tanga 2024/2025

    Nini Cha Kufanya Baada ya Kuangalia Shule Uliyopangiwa

    Baada ya kuangalia shule uliyopangiwa kuweza kujiunga nayo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka wa 2025, unatakiwa kuanza kufanya maadalizi ya vitu muhimu utakavyohitaji ili kujiunga na kidato cha kwanza.

    1. Kuchukua Form ya Kujiunga na shule (Form One Joining Instruction Form)

    • Tembelea shule uliyopangiwa na uchukue form ya kujiunga na shule ili upate mwongozo wa mahitaji ya msingi yanayohitajika na shule uliyopangiwa

    2. Fanya maandalizi ya Mingi ya Mwanafunzi

    – Andaa mahitaji yako kama vlile

    • Nunua sale za shule
    • Madaftali, kalamu
    • vifaa vya kujifunzia
    • Vifaa vya michezo

    Mapendekezo ya Mhariri

    1. Orodha ya Channel Zote za Visimbuzi Vya Azam TV

    2. Orodha ya App Nzuri za Kuangalia Mpira Live Kwenye Simu

    3. Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot

    4. Jinsi Ya Kukata Tiketi Ya Basi Mtandaoni

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi za Kazi Kutoka Minor Hotels December 2024
    Next Article Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2025 (Form One Joining Instruction)
    Kisiwa24

    Related Posts

    Makala

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026
    Makala

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 2025
    Makala

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202554 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202531 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202554 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202531 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.