Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Makala»Orodha ya App Nzuri za Kuangalia Mpira Live Kwenye Simu
    Makala

    Orodha ya App Nzuri za Kuangalia Mpira Live Kwenye Simu

    Kisiwa24By Kisiwa24December 9, 2024No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Orodha ya App Nzuri za Kuangalia Mpira Live Kwenye Simu, Habari ya wakati huu mwanaKisiwa24 Blog, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa kuangalia mpira live kupitia simu janja yako.

    Hapa tutakuonyesha App za kwenye simu aina ya simu janja ambazo unaweza kuzitumie kuweza kutizama mpira kupitia simu yako live

    JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

    Mahitaji ya Kuweza Kutizama Mpira Live Kupitia Simu Yako

    Ili uweze kutizama mpira live kupitia simu yako lazima uwe na vitu vifuatavyo;

    1. Simu janja (Smart Phone)
    2. Uwezo wa kuunganisha na Internet
    3. Internet yenye kasi nzuri
    4. App inayorusha matangazo ya Mpira live

    Hatua za Kufuata ili kuweza Kuangalia Mpira Live kwenye Simu Yako

    Baada ya kua na mahitaji yako sasa ili uweze kutazama mpira live kupitia simu janja yako unapaswa kuweza kufuata hatua zifuatazo;

    1, Kwanza kabisa chukua kifaa chako (simu) na uiunganishe na internet iwe ya mtandao wa simu au Wifi,

    2, Baada ya kuunganisha simu yako na internet sasa nenda play store na upakue App utakayoitumia kuangalia mpira live, App hizo tutaziweka hapa chini baada ya hatua hizi

    3, Baada ya kupakua App na kuistall kwenye simu yako, sasa unaweza kuifungua na kuanza matumizi

    4, Kila App inamwongozo wake kwenye matumizi, baada ya kufungua App fuata maelekezo ili kuweza kutizama Mpira live kupitia simu yako.

    5, Hadi kufikia hapo utakua unaweza kutizama mpira kupitia simu yako ya mkononi

    Orodha ya App Nzuri za Kuangalia Mpira Live Kwenye Simu
    Jinsi ya Kuangalia Mpira Live kwenye Simu Yako

    App bora za Kuangalia Mpira Live Kupitia Simu Yako

    Hapa chini ni baadhi ya App nzuri zaidi unazoweza kuzitumia kuweza kuangalia mpira live kupitia simu yako ya mkononi

    Sifa za App Hizi za Kuangalia Mpira Live

    1. Hazitumii MB nyingi kwenye kuangalia mpira
    2. Nje ya channel za mpira pia unaweza kutizama habari za kidunia
    3. Ni nyepesi hazikwami kwami
    4. Zina kwaliti ya HD

    Hapa chini ni app za kuweza kutizama mpira live kwa kupitia simu yako

    1, CRIFY TV

    Hii ni APK unayoweza kuipakua kutoka Google,

    Jinsi ya Kuangalia Mpira Live kwenye Simu Yako

    2, CNF Spots

    CNF Sports ni moja miongoni mwa APP bora zaidi tulizowahi kuziona kwa urushaji wa matangazo ya mpira live ina channel bora zaidi za mpira na hutumia kiasi kidogo zaidi cha MB kwenye kuangalia mpira live

    – App hii inapatikana Plya Store unaweza kubonyeza HAPA ili Kuipakua na kuinstall kwenye simu yako

    Jinsi ya Kuangalia Mpira Live kwenye Simu Yako

    Hasara za Kuangalia Mpira Live Kupitia Simu

    1. Gharama za matumizi ya ziada ya Data (MB)
    2. Madhara kwenye matumizi ya betri ya simu
    3. Inaweza sababisha madhara ya macho kwa kutizama mwanga wa simu kwa muda mrefu

    Hitimisho

    Kutokana na maenedeleo ya kiteknolojia ya wakati huu kumekua na urahisi ziaidi kwani badara ya kutumia kifaa kikubwa zaidi kuangalia mpita live na kufanya malipo kwenye kampuni zinazo rusha matangazo ya mpira sasa kupitia simu yako ya mkononi na App unaweza kuangalia mpira live kwa kulipia Data kidogo tu.

    Embu kama Kuna App nyingine unazifahamu za kuangalia mpira live kwenye Simu basi weka kwenye komenti ili na wengine wazifahamu.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga

    2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

    3. Nafasi ya Yanga Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025

    4. Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

    5. Ligi Bora Africa 2024

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHabari za Kwenye Magazeti ya Leo Tanzania Jumanne 10 December 2024
    Next Article Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars)
    Kisiwa24

    Related Posts

    Makala

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026
    Makala

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 2025
    Makala

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202537 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202537 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.