Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024
    Ajira

    Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024

    Kisiwa24By Kisiwa24December 3, 2024No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-03-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

    JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

    Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana. Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

    Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
    kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

    Muhimu;

    Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

    Bonyeza HAPA kupakua Majina Yote

    Maprndekezo Ya Mhariri;

    1. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Banki ya Standard December 2024

    2. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Shirika la Ndege la Oman

    3. Nafasi za Kazi ya Walimu Kutoka Christian Private School Lushoto

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi Mpya za Kazi Kutoka Banki ya Standard December 2024
    Next Article Habari za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 04 December 2024
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026
    Ajira

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    March 7, 2026
    Ajira

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,346 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,346 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025586 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.