Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025
    Michezo

    Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025

    Kisiwa24By Kisiwa24November 6, 2024No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya jezi mpya za klabu ya Yanga zitakazoenda kutumika katika msimu huu mpya wa 2024/2025.

    Nafasi ya Yanga Msimu Uliopita

    Msimu uliopita katika ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga alimaalufu kama wana jangwali walimaliza msimu kwa kutwaa ubingwa wa ligi hiyo kwa kumaliza ligi wakiwa katika nafasi ya kwanza huku wapinzani wao Simba wakiwa katika nafasi ya 3 na nafasi ya pili ikishikiliwa na klabu ya Azam.

    Msimu Mpya wa 2024/2025

    Msimu mpya unaenda kuanza na tayari klabu ya Yanga emetangaza kuachia mwonekano mpya wa jezi zake zitakazotumika katika mashindano mbali mbali. Hivyo basi kama wewe ni shabiki wa Yanga basi huna budi kutazama bei elekezi ya jezi mpya za Yanga kwa msimu huu mpya wa 2024/2025.

    Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025

    Hapa chini ni nmaelekezo ya kutosha kuhusu utolewaji wa jezi mpya za klabu ya YAnaga kwa msimu huu mpya wa mwaka 2024, hapa tumekuwekea njinsi jezi zitakavyotolewa na bei zake kwa kila jezi

    Bei Elekezi Za Jezi Mpya Za Yanga Msimu wa 2024/2025

    Uzi mpya wa Yanga Sc klabu tayari uko hewani kwa msimu huu mpya wa 2024/2025.

    Wananchiiiiiiii mpo tayariiiiii kwa jenzi mpyyaa?

    PRE-ORDER
    PRICE – 32,000/=
    𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀 𝐏𝐂𝐒 𝟏𝟐𝟎

    Hii yote ni kwa wafanya biashara wa jumla na matawi ya Yanga

    Ili kuweka oda Yako mapema tafadhari tumia mawasiliano hapo chini:

    wasiliana nasi Kupitia:

    ✓0745 000 000

    ✓0780 900 400

    Kumbuka bei hiyo ya 32,000 ni kuanzia PC 120.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Kikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025

    2. Wachezaji wanaolipwa pesa nyingi Tanzania 2024

    3. Ligi Bora Africa 2024

    4. CAF Orodha Ya Vilabu Bora Afrika

    5. Kikosi cha Simba SC Msimu wa 2024/2025

    Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa unamaswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

    Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

    BONYEZA HAPA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMuundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Mtendaji wa Kijiji na Mtaa
    Next Article Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kupitia Mitandao Ya Simu
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202554 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202531 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202554 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202531 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.