Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Makala»Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa
    Makala

    Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa

    Kisiwa24By Kisiwa24October 15, 2024No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa

    Tangazo

    Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

    Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa, Je, umewahi kujikuta ukitaka kusafiri kwa treni za GSR lakini huna muda wa kwenda kununua tiketi ofisini? Usijali! Teknolojia ya mtandao wa Vodacom imekuja na suluhisho la haraka na rahisi. Leo katika makala hii fupi tutaangalia jinsi unavyoweza kununua tiketi ya treni za GSR kupitia M-Pesa, mfumo wa malipo wa simu unaotumika sana nchini Tanzia.

    Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa

    Hapa chini tutaenda kujadili juu ya njia tofdauti tofauti utakazoweza kuzitumia ili kununua tiketi yako ya safari ya treni ya GSR kwa kutumia mtandao wa Vodacom (M-Pesa)

    Hatua za Kununua Tiketi

    Kwa M-Pesa super app

    1. Baada ya kupokea control number fungua app ya M-Pesa

    2. chagua mini app ya GEPg

    3. Kisha chagua malipo

    4. Kisha weka control number kukamilisha malipo yako

    Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa
    Jinsi ya Kununua Tiketi ya Treni za GSR Kupitia M-Pesa
    Kwa ussd

    1. Piga *150*00#

    2. Chagua namba 4 malipo ya serikali

    3. Kisha weka control number kukamilisha malipo

    Mambo ya Kuzingatia

    • Hakikisha una salio la kutosha kwenye akaunti yako ya M-Pesa kabla ya kuanza mchakato.
    • Weka ujumbe wa uthibitisho kutoka GSR. Utahitajika kuonyesha huu wakati wa kupanda treni.
    • Ikiwa utapata shida yoyote wakati wa kufanya malipo, unaweza kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja cha GSR au M-Pesa kwa msaada.

    Hitimisho

    Kununua tiketi ya treni za GSR kupitia M-Pesa ni njia rahisi, ya haraka na salama. Inakuwezesha kupanga safari yako kwa urahisi bila kuhitaji kutembelea ofisi za GSR. Jaribu leo na uone jinsi inavyoweza kuokoa muda wako wa thamani.

    Mapendekezo ya Mhariri

    Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro

    Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi

    BONYEZA HAPA 

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleJinsi Ya Kuangalia Salio la Muda wa Maongezi Halotel
    Next Article Jinsi Ya Kununua Tiketi Ya Treni Za GSR Online
    Kisiwa24

    Related Posts

    Makala

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026
    Makala

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 2025
    Makala

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202551 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202567 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202551 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.