Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika
    Michezo

    Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika

    Kisiwa24By Kisiwa24October 9, 2024No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika

    Tangazo

    Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

    Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika, Habari mwanasoka wa Habarika24, katika mala hii tutaenda kuangazia kikosi cha klabu ya Yanga dhidi ya klabu ya Al-Hilal Omudurman kitakachoenda kucheza leo katika ligi ya Mabingwa barani Afrika.

    Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika

    Baada ya kuchezeshwa kwa droo ya kupanga makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions Leagure ) klabu ya yanga iliweza kuwekwa katika kundi A lenye timu nne ambazo ni.

    • TP Mazembe (DR Congo)
    • Yanga (Tanzania)
    • Al Hilal SC (Sudan)
    • MC Alger (Algeria)

    Leo Yanga ana cheza na na klabu ya Al-Hilal Omdurman ya kutokea Sudani katika hatua ya makundi, huu ndio mchezo wa kwanza kabisa kwa blabu ya Yanga katika kusaka tiketi ya kufuzu kwenda robo fainali ya Michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

    Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika

    Hapa chini ni kikosi cha wachezaji wa Yanga wanao tarajia kucheza katika mchezo huu wa hatua ya makundi dhidi ya klabu ya Al-Hilal Omdurman ya huko Sudan

    1. Djigui Diarra
    2. Abutwalib Mshery
    3. Nickson Kibabage
    4. Kouassi Yao
    5. Farid Mussa
    6. Dickson Job
    7. Bakari Mwamnyeto
    8. Ibrahim Abdallah
    9. Max Nzengeli
    10. Khalid Aucho
    11. Pacome Zouzoua
    12. Stephen Aziz Ki
    13. Mudathir Yahya
    14. Salum Abubakar
    15. Clement Mzize
    16. Clatous Chama
    17. Prince Dube
    18. Chadrack Boka
    19. Khomeiny Aboubakar
    20. Aziz Andabwile
    21. Duke Abuya
    22. Kennedy Musonda
    23. Jean Othos Baleke

    Hapo juu ni orodha ya wachezaji 23 ambao ndio wanaunda kikosi cha klabu ya Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na miongoni mwa wachezaji hapo juu ndio wanaotarajia kuanza katika kikosi dhidi ya klabu ya Al-Hilal Omdurman leo Ijuma 06/12/2024 katika mchezo wa hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika.

    Kikosi kamili kitakacho anza tutakitoa hapa mara baada ya kutangazwa rasmi.

    Mtarajio ya Mchezo

    Mchezo utakua wa upinzani sana kwani kila timu inatarajia kupata ushindi wa mapema. Yanga atakua nyumbani kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ni matarajio makubwa kwa mashabiki wa Yanga na taifa la Tanzania kwa klabu yao kushinda mchezo huu

    Hitimisho

    Kama wewe shabiki wa Yanga embu tuambie ungepewa nafasi ya kuunda kikosi cha Yanga kitakacho cheza na Al-Hilal Omdurman leo Ijuma 06/12/2024 katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika hatua hii ya makundi ungeweka wachezaji gani?. Embu tumia uwanja wa komenti hapo chini kupanda first eleven yako.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 

    3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025

    5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card 

    Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

    Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

    BONYEZA HAPA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMsimamo wa Kudi D Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 2024/2025
    Next Article Matokeo Ya  Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202537 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202537 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.