Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Michezo»Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024
    Michezo

    Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024

    Kisiwa24By Kisiwa24September 4, 2024No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024

    Habari ya wakati huu mwana Habarika24, karibu tena katika website yetu, leo tumepata fursa ya kukuletea kikosi cha taifa stars kinachotarajiwa kucheza na Timu ya Taifa ya Ethiopia.Mchezo huu ni muhimu sana kwa Taifa Stars kwenye kufuzu katika michuano ya AFCON mwaka 2025.

    Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024
    Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024

    Muda Wa kuanza Mchezo

    Mchezo huu unatarajiwa kuanza kunako majira ya saa MOJA za jioni katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam

    Kikosi cha Taifa Stars Vs Ethiopia Leo September 4, 2024

    Kocha mkuu wa taifa stars ameweza kutangaza majina ya wachezaji watakao enda kushiriki mchezo wao wakufuzu michuano ya AFCON msimu wa 2025. Wachezaji hao wameitwa kutoka vilabu tofauti tofauti ili kukamilisha idadi ya wachezaji wanaohitajika.

    Hapa tumeweka majina ya wachezaji kutokana na nafaSI ZAO ZA UCHEZAJI;

    Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024
    Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024

    Magolikipa:

    • Ally Salim – Simba SC
    • Abdultwalib Mshery – Young Africans
    • Yona Amos – Pamba SC

    Mabeki:

    • Lusajo Mwaikenda kutoka Azam FC
    • Nathaniel Chilambo kutoka Azam FC
    • Mohamed Hussein kutoka Simba SC
    • Dickson Job kutoka Young Africans
    • Pascal Msindo kutoka Azam FC
    • Ibrahim Hamad kutoka Young Africans
    • Bakari Nondo kutoka Young Africans
    • Nickson Kibabage kutoka Young Africans

    Nafasi ya Viungo:

    • Abdulmalik Zakaria kutoka Mashujaa FC
    • Adolf Mtasigwa kutoka Azam FC
    • Himid Mao kutoka Tala’a El Geish, Misri
    • Novatus Dismas kutoka Goztepe, Uturuki
    • Mudathir Yahya kutoka Young Africans
    • Hussein Semfuko kutoka Coastal Union
    • Edwin Balua kutoka Simba SC
    • Feisal Salim kutokja Azam FC

    Washambuliaji:

    • Wazir Junior Kutoka Dodoma Jiji
    • Cyprian Kachwele kutoka Vancouver Whitecaps, Canada
    • Clement Mzize kutoka Young Africans
    • Abel Josiah kutoka TDS TFF Academy

    Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

    Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

    BONYEZA HAPA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleOrodha ya Shule za Sekondari mkoa wa Pwani
    Next Article Matokeo ya Taifa Stars Vs Ethiopia Leo Septemba 4 2024
    Kisiwa24

    Related Posts

    Michezo

    Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

    December 30, 2025
    Michezo

    MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

    December 7, 2025
    Michezo

    Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

    December 7, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202558 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202532 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202532 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202558 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202532 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202532 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.