Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Matokeo Ya Mechi»Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Ligi Ya Nbc Premier League Ijumaa 23/08/2024
    Matokeo Ya Mechi

    Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Ligi Ya Nbc Premier League Ijumaa 23/08/2024

    Kisiwa24By Kisiwa24August 22, 2024No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Ligi Ya Nbc Premier League Ijumaa 23/08/2024, Katibu katika ukurasa huu, hapa tuaenda kukuonyesha matokeo ya michezo ya leo ijumaa ya 23/08/2024 katika ligi kuu ya NBC Premier msimu wa 2024/2025.

    Leo siku ya ijumaa kutakua ma mchezo mmoja katika ligi kuu ya NBC Premier ambao utafanyika katika mkoa wa Kigoma majira ya saa kumi za jioni katika uwanja wa Lake Tanganyika

    Mchezo huu unazikutanisha timu mbili Mashujaa na Tanzania Prisons katika round ya pili ya mzunguko wa ligi kuu ya NBC Premier msimu huu wa 2024/2024.

    Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Ligi Ya Nbc Premier League Ijumaa 23/08/2024
    Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Ligi Ya Nbc Premier League Ijumaa 23/08/2024

    Mashujaa inaikabili Tanzania prisons huku ikiwa na matokeo ya pointi Tatu baada ya kuichapa timu ya Dodoma Jiji katika mchezo wa round ya kwanza na kuwafanya wawe katika nafasi ya 3 katika msimamo wa ligi kuu ya NBC Premier msimu huu wa 2024

    Tanzania Prisons wao wana wavaa Mashujaa wakiwa ugenini katika mchezo huu wa round ya Pili huku wakiwa na matokeo ya kulazimishwa sare ya bila kufungana katika mchezo wao wa kwanza dhidi ya Pamba Jiji huko mkoani Mwanza na kuifanya Tanzania Prisons kua katika nafasi ya 5 katika msimamo wa ligi kuu ya NBC Premier MSIMU WA 2024/2025.

    Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Leo 23/04/2024 Ligi Kuu Ya NBC Premier Tanzania Bara 2024/2025

    Kama wewe ni shabiki wa soka na unatamani kutazama matokeo haya basi endelea kutembelea ukrasa wetu maana tutakua tunaweka kila taaarifa juu ya mchezo huu na matokeo yake;

    Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Leo 23/04/2024

    Mashujaa 0 – 0 Tanzania

    Matokeo Ya  Mechi Za Ligi Ya Nbc Premier League katika roundi ya kwanza

    SIMBA SC 3 – 0 TABORA UNITED

    KENGOLD FC 1 – 3 SINGIDA BS

    MASHUJAA FC 1 – 0 DODOMA JIJI

    PAMBA JIJI 0 – 0 TANZANIA PRISONS

    Msimamo Wa Ligi Kuu Ya NBC Premier 2024/2025

    Pos Club P W D L GF GA GD Pts
    1 Simba 1 1 0 0 3 0 3 3
    2 Singida BS 1 1 0 0 3 1 2 3
    3 Mashujaa 1 1 0 0 1 0 1 3
    4 Pamba Jiji 1 0 1 0 0 0 0 1
    5 Tanzania Prisons 1 0 1 0 0 0 0 1
    6 Azam 0 0 0 0 0 0 0 0
    7 Coastal Union 0 0 0 0 0 0 0 0
    8 Fountain Gate 0 0 0 0 0 0 0 0
    9 JKT Tanzania 0 0 0 0 0 0 0 0
    10 KMC 0 0 0 0 0 0 0 0
    11 Kagera Sugar 0 0 0 0 0 0 0 0
    12 Namungo 0 0 0 0 0 0 0 0
    13 Young Africans 0 0 0 0 0 0 0 0
    14 Dodoma Jiji 1 0 0 1 0 1 -1 0
    15 KenGold 1 0 0 1 1 3 -2 0
    16 Tabora UTD 1 0 0 1 0 3 -3 0
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi Mpya Za Kzi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Newala Agosti 2024
    Next Article Kikosi Cha Mashujaa vs Tanzania Prisons Ligi Kuu ya NBC Premier Leo Ijumaa 23/08/2024 
    Kisiwa24

    Related Posts

    Matokeo Ya Mechi

    Matokeo ya Taifa Stars Vs Ethiopia Leo Septemba 4 2024

    September 4, 2024
    Matokeo Ya Mechi

    Matokeo ya Pamba Jiji VS Tanzania Prisons Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania 16/08/2024

    August 11, 2024
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202560 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202537 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202536 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.