Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»Nafasi Mpya za Kazi Almashauri ya Wilaya ya Kibiti Julai, 2024
    Ajira

    Nafasi Mpya za Kazi Almashauri ya Wilaya ya Kibiti Julai, 2024

    Kisiwa24By Kisiwa24July 21, 2024No Comments4 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
    BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU

    Nafasi Mpya za Kazi Almashauri ya Wilaya ya Kibiti Julai, 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa kada nne (04) kama zilivyoanishwa kwa kuzingatia sifa tajwa: –

    Nafasi Mpya za Kazi Almashauri ya Wilaya ya Kibiti Julai, 2024

    Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La II (“Office Management  Secretary II”) Nafasi 03

    Sifa Za Mwombaji.

    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne (Form IV) au cha Sita (Form VI), wenye stashahada  (Diploma) ya Uhazili au cheti cha (NTA Level 6) ya uhazili. Aidha wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 100 kwa dakika moja na kupata program za kompyuta za ofisi kama vile; Word, Excel, PowerPoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

    Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La II (“Records Management  Assistant” II) Nafasi 03.

    Sifa Za Mwombaji.

    Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha nne (IV) au sita (VI), wenye Stashahada au NTA level

    6 katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali

    mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

    Dereva Daraja La II – Nafasi 5

    Sifa Za Mwombaji

    Kuajiriwa mwenye Cheti cha Kidato cha Nne (IV) na Leseni ya Daraja C au E ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo cha VETA au NIT AU chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

    Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III (“Village Executive”) Nafasi 4

    Sifa Za Mwombaji.

    Kuajiriwa mwenye Cheti cha Kidato cha Nne (IV) na Leseni ya Daraja C au E ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo cha VETA au NIT AU chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

    Masharti Ya Jumla Kwa Waombaji

    1. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45
    2. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira aina ya ulevu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
    3. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza Curriculum Vitae (CV) yenye Anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya barua pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.
    4. Provisional/ testimonial/ statement of Result na hati za matokeo za kidato cha Nne na Sita (Form IV and Form Six results slip) HAVITAKUBALIWA.
    5. Waombaji waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
    6. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
    7. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingia katika Kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wao wajiridhishe ipasavyo.
    8. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma, wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/O1/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
    9. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kidato cha nne, Kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Postgraduate/Deree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates, Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, Computer Certificate, Vyeti vya Kitaaluma (Proffesional Certificate from Respective Boards).
    10. Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
    11. Uwasilishaji wa taarifa na Sifa za kughushi, wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
    12. Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza. Makao makuu ya Halmashauri, Mtaa wa Lumiozi/Barabara ya Bomani, S. L. P 33 Kibiti/Pwani, Simu: +255023-2010926, Nukushi: +255023-2010927, Baruapepe: ded.kibiti@pwani.go.tz ,ded@kibitidc.go.tz, Tovuti; www.kibitidc.go.tz

    Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 28 Julai, 2024.

    MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –

    • Mkurugenzi Mtendaji,
    • Halmashauri ya Wilaya,
    • S.L.P 33,

    Jinsi ya Kutuma Maombi

    Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo:- https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHabari kubwa Katika Magazeti ya leo Jumatatu ya July 22, 2024
    Next Article Habari kubwa Katika Magazeti ya leo Jumnne ya July 23, 2024
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202558 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202532 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202532 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202558 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202532 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202532 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.